Simba Queens Yatwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara




Timu ya wanawake ya Simba, Simba Queens imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara ikiwa na mechi mbili mkononi baada ya kuibugiza Baobab Queens 5-0 katika mchezo wa leo na kufikisha pointi 53 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine.



NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele