Posts

Showing posts from August 19, 2018

Nina miaka 32 najiona nimekua, najutia sana kuchora tattoo na kutoboa masikio-Mr. Blue (+video)

Image
NancyTheDreamtz Facebook Twitter Share via Email Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Mr Blue amesema kuwa anajutia sana baadhi ya vitu ambavyo alishawahi kuvifanya kipindi cha nyuma akiwa mdogo ambavyo hadi sasa vinamuumiza kichwa. Akitaja baadhi ya vitu hivyo kwenye mahojiano yake na Bongo5,  Mr. Blue amesema kuwa ni kitendo cha kutoboa sikio akiwa darasa la 7 na kuchora tattoo. Kwa upande mwingine amewaasa wasanii wengine hususani wachanga kutokufanya vitu ambavyo baadae vitawaletea majuto kwani kila fasheni inabadilika kuendana na muda. Related Articles

Harmonize achafua hali ya hewa mtandaoni, Barnaba na Eugy kutoka Ghana watoa baraka zao (+video)

Image
NancyTheDreamtz Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amekuwa gumzo mitandaoni kwa siku ya leo Tanzania baada ya kutangaza kuwa anaachia ngoma mpya. Harmonize Harmonize kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaahidi kuwa ataachia video ya wimbo wake mpya endapo atatapata maoni (Comments) zaidi ya 2000. Posti hiyo mpaka sasa imeshangaa masaa manne na tayari imefikisha comments 3000+ na views 102,000+ na kinachofuatia sasa ni mashabiki wake kumuandama mitandaoni mkali huyo wa Kwangwaru kuachia kichupa hicho. Wengine waliotoa neno juu ya ujio wa ngoma hiyo ni mwanamuziki Barnaba na Eugy kutoka nchini Ghana ambao nao wamedai kuwa wimbo huo utakuwa ni moto wa kuotea mbali. “ Aiseee hili chuma, chuma naikumbuka mzee balaa sana ni chuma na nusuu, “ameandika Barnaba huku msanii wa muziki kutoka Ghana, Eugy akiandika “ Let’s goooo!! “. Ngoma hiyo mpya ya Atarudi ni ngoma ya tatu ya Harmonize kufanya kwa mwaka huu baada ya ngoma yake ya DM Chick na Kwangaru aliyomshirikisha Di...

Maandamano dhidi ya kukamatwa Bobi Wine yaendelea Uganda

Image
Biashara zilisimama Jumamosi mjini Mukono, Uganda wakati maandamano yalipoanza kupinga kuendelea kuwekwa kizuizini Robert Kyagulanyi (Bobi Wine). Bobi Wine ni mwanasiasa wa kambi ya upinzani nchini Uganda. Maandamano hayo yalisababisha watu wenye silaha kupiga risasi za moto na kutupa mabomu ya machozi ili kuwasambaza waandamanaji hao. Operesheni hiyo iliongozwa na Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Mukono Rogers Sseguya na maafisa wengine waliokuwa zamu wa vituo mbalimbali vya polisi wilayani Mukono. Moses Kiwanuka ambaye ni mmoja wa wakazi wa eneo hilo amesema hawawezi kukaa na kutizama wakati serikali ikiwaweka kizuizini na kuwatesa watu. Wakazi hao walianza kwa kufunga barabara ya Mukono-Kayunga na kisha wakaendelea kuzuia njia kuu ya Kampala-Jinja. Mkuu wa polisi wa wilaya hiyo Sseguya aliagiza wenye maduka ambao waliacha waliendelea kufanya biashara kufunga maduka yao na kuwaambia kuwa biashara zao zitaangamizwa. Ijumaa, polisi hao waliwakamata waandamanaji kadhaa pembezoni mwa mji huk...

Young Dee Akana Kutoka Kimapenzi na Rosa Ree, Adai Wana Wimbo Wamefanya Pamoja

Rapa Young Dee amezungumzia uhusiano uliopo kati yake na rapa wa kike the Goddess Rosa Ree, baada ya kuenea kwa tetesi kuwa huenda wawili hao wana uhusiano wa kimapenzi kutokana na ukaribu wao. Akifunguka hivi karibuni kupitia The Playlist ya Times Fm, Young Dee alikanusha tetesi hizo, na kueleza kuwa hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Rosa Ree, bali kinachowakutanisha ni muziki wao tu. “Hatujawahi kudate mimi na Rosa Ree, tulikuwa washkaji tu. Ni kwa sababu yeye ni rapa na mimi ni rapa kwahiyo tunakutana kwa sababu ya kazi ya muziki… ni kama mimi na wewe kinachotukutanisha hapa ni hii kazi, hatuuzi vitumbua,” alijibu swali la Lil Ommy, mtangazaji wa The Playlist. Hata hivyo, alipoulizwa kuhusu maswali ya wengi kuwa huenda wawili hao walikuwa wapenzi lakini sasa wameachana, Young Dee alisema bado hawajaachana [kama washkaji], na kueleza chanzo cha ukaribu wao. “No, hatujaachana. Kwa sababu ni mtu ambaye anafanya kazi zake na mimi nafanya kazi zangu. Kilichotukutanisha ni kwasab...