Posts

Showing posts from January 18, 2019

Do You Care: 20 Facts About Rihanna : 1 of 3

Image
NancyTheDreamtz Whether she’s singing about diamonds in the sky or her umbrella, ella, ella, eh, eh, eh, eh, eh, eh, Rihanna has certainly made a name of herself. She is one of the most successful R&B/Pop singers on the planet today – having topped the Billboard charts 30 times – second only to Madonna, and has a networth of around $250 million. But in spite of her fame, there is plenty about Rihanna that you might not know about. With that in mind, here are 20 facts about your favorite singer that will make you slightly more knowledgeable. Rihanna holds the Guinness World Record for most digital singles sold at 58 million and counting. She was the first female artist to have a single top the UK charts for five consecutive years (2007 – 2011). Believe it or not, she has never worn makeup a day in her everyday life. Her rider contains a few quirky requirements. For instance, the air conditioning in her room must be s...

Muungano wa Afrika AU umeiomba Congo iahirishe kutangaza matokeo ya uchaguzi

NancyTheDreamtz Muungano wa Afrika (AU) umeitaka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo iahirishe kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu. Muungano huo unaonuia kuhimiza umoja na demokrasia, unasema una "shaka kubwa" na matokeo ya awali yaliotangazwa wiki iliyopita, Matokeo hayo yalimpa ushindi mgombea wa upinzani Felix Tshisekedi lakini mpinzani wa utawala uliopo, Martin Fayulu, anasisitiza kuwa yeye ndiye aliyeshinda. Kumezushwa maswali mengi kuhusu uhakika wa matokeo hayo huku kukiwepo shutuma kwamba Tshisekedi anapanga mpango wa kugawana madaraka na rais anayeondoka Joseph Kabila. Baadhi ya viongozi katika Muungano wa Afrika na Serikali walikutana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa jana Alhamisi na kutoa tamko kuhusu Uchaguzi huo wa Desemba 30 unaopingwa pakubwa. "Kumekuwa na shaka kubwa kuhusu namna matokeo ya awali yalivyokusanywa, kama ilivyotangazwa na tume huru ya kitaifa ya uchaguzi kwa kura zilizopigwa," taarifa ya muungano huo imesema. H...

CHADEMA watuma mawakili kufuatilia afya ya Freeman Mbowe Gerezani

NancyTheDreamtz Chadema imetuma mawakili wake katika Gereza la Segerea kufuatilia afya ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ambaye jana alishindwa kufika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili, ikielezwa kuwa ni mgonjwa. Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu jana alisema taarifa za kuumwa kwa Mbowe ambaye pia ni mbunge wa Hai zimewashtua kwa sababu walikuwa hawajui. Alisema kutokana na taarifa hiyo wamelazimika kuwatuma mawakili kwenda gerezani ili kujua ni kitu gani kinachomsumbua na kujua kama amepatiwa huduma zinazostahili na kama kuna kitu kinachohitajika.   Taarifa za ugonjwa wa Mbowe zilitolewa mahakamani hapo na wakili wa Serikali mwandamizi, Patrick Mwita, wakati kesi ya ya jinai inayomkabili yeye na viongozi wengine wanane wa chama hicho mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ilipotajwa.

Live: Rais Magufuli Katika Makabidhiano Ya Mtambo Wa Kusimamia Mawasiliano Ya Simu (TTMS)

Image
NancyTheDreamtz Live: Rais Magufuli Katika Makabidhiano Ya Mtambo Wa Kusimamia Mawasiliano Ya Simu (TTMS)