Posts

Showing posts from September 9, 2018

Kijana anekuja kasi kwenye uchoraji Tanzania

Image
NancyTheDreamtz George Nyandiche nikijana aliyesoma Shule yamsingi mazoezi Mbinga baada ya hapo alijiunga na Shule ya Sekondari Mbinga Day nakuhitimu Elimu yake hiyo 2012 Baada yakumaliza George Akajiunga na Kampuni yauchoraji ya Tingatinga iliyopo maeneo ya Morogoro Store Osterbay sasa amekuwa Mchoraji Hodari akifanya kazi zake nawachoraji Mahiri kama Nathani Mpangala kwayeyote anayehitaji huduma yake apige namba +25575956009 au awasiliane na Meneja wake +255673050373

Mwakyembe "Mamiss Tuache Kujitutumua Kuongea Kiingereza cha Kichaga na Kinyakyusa"

Image
NancyTheDreamtz "Tuache kujitutumua kuongea Kiingereza cha kichaga, kinyakyusa n.k.... tutumie Kiswahili, Kiswahili ni miongoni mwa lugha 6000 zinazozungumzwa sana duniani na ktk hizo 6000 Kiswahili kipo ktk Top 10, Ma-Miss tumieni Kiswahili" - asema Waziri Dr. Mwakyembe @harrisonmwakyembe #NewMissTanzania2018 #MissTanzania2018

Huu Ndio Utamu wa Mwanamke Mwenye Mswambwanda wa Maana Wakati wa Kukwichikwichi Kitandani..!!!

Image
NancyTheDreamtz 1.Makalio makubwa hunisaidia kujua kama mwenzi wangu amefika orgasm, mfano ikitokeana hit Doggie basi wakati wa orgasm (most of girls) makalio huwayanatikikisa (twitch, fasciculate ) ambayo huwa inaambatanana miguno ya kimhaba inayo fifia ambayo kabla ya hapo huwa ya sautikubwa... hii unifanya nijue what to next kumzidishia utamu zaidi. Hii kitu inukuwa ngumu kunotice kwa msichana ambaye nimwembamba just have to relay from other signs 2. Makalio makubwa huwa yananifanifanya iwe rahisi kwangu kuyashika (grab) especially wakati wa doggie.ikizingatia gym imekubali na kifua na mabega yametanuka ( shoulder to shouler distance ni kubwa). itaniwia ngumu sana kama msichana an mwili mdogo na makalio yake pia 3. msichana mwenye makalio makubwa obvious atakuwa na nyama nyama kwenye mapaja hii nyama nyama zinakuwa na act kama chock absober na kucushion ile hiting force ,especially when adrenaline na sympathetic flow is at peak and s3x is becoming hardcore, katika situation hii...

Utajuaje Kuwa Mwanamke Ana Fake Ama Unamfikisha Wakati wa Mechi ya Raha Tupu ?

Image
NancyTheDreamtz Haya jamani katika pitapita zangu kwenye Mitandao yetu ya mawasiliano nimekutana na Posti hii, Imenivutia na nimeona Si mbaya kuwagawia wadau wangu wa Udaku Specially Note: Nimeikopi kama nilivyoikuta. DALILI ZA MWANAMKE ANAE FOJI KILIO WAKATI WA  RAHA TUPU ILI AKUTEKE KIHISIA ILI UJUE NAWEWE WAMO KUMBE HAUMO.. 1.Analia mfulululizo kama kinanda cha parokia bila kubadili key wala Tyun. 2.Anaaongea english nyingi za kwenye movies za pilau 3.Anarudia maneno yale yale kuanzia dakika ya kwanza hadi ya 90 kama script ya bongo move 4.Mtu analia kama Suzuki inapanda mlima  5. Kinanda si Kinanda Gitaa si gitaa mlio haubadiliki..FEKI 6. Anafoji Orgasm za kiingereza kama za Movies za x Ohh yeah bless me with it, dig it deeper,Touch my Soul like that, Oh babe be my Vampire take all the Blood, Hit me and leave me breathless... Hivi kweli utamu umenoga utakumbuka kuhusu kuunga Present continuous Tense kweli hadi kipatikane kilio??FEKI HUYO.. 7.Ukiacha Wachaga ambao wao...

Stori ya Kusikitisha ya Mwanamuziki Rah P Baada ya Kuwa Mapenzini na Mwanamume Muuza Madawa ya Kulevya

Image
NancyTheDreamtz Raha P Ni stori ambayo aliitoa kipindi cha nyumba kidogo lakini leo nimeona niwaletee na ninyi mtazame akielezea kilichomkuta na mpaka kupotea kabisa katika anga za muziki wa Bongo Flava.....Its so touching yaai i cant watch this twice. she is a good woman, really strong african woman i like her style, naona rap style yake imebadilika. i like the song Ushaurinwa bure, I think she can do wonders akifanya talk show. there are so many women going through such paths, imagine hearing these stories from Tanzanian women.... Tazama Video Hapa:

Mobetto aingia Red Carpet na baunsa kwenye shindano la Miss Tanzania

Image
NancyTheDreamtz Mrembo Hamisa Mobetto ambaye alikuwa host wa Miss Tanzania 2018 aliingia Red Carpet akiwa na mabaunsa ili kujikinga na waandishi wa habari ambao walimkimbilia kwa wingi baada ya kuonekana anaingia ukumbini hapo. Hata hivyo hakuna mwandishi ambaye alipata fursa ya kuzungumza naye zaidi ya Clouds Media ambao walikuwa wadhamini wa show hiyo. Mobetto alikimbia kuongea na waandishi wa habari kwa kuhofia kuulizwa maswali ambayo alihisi yatamtoa kwenye mood kwani yeye ndio host wa sherehe nzima ya kumtafuta Miss Tanzania.  Siku kadhaa nyuma mrembo huyo alikumbwa na tetesi za kutaka kumloga baba wa mtoto wake Diamond Platnumz kwa madai ya kutaka gari pamoja na nyumba.

Utapeli Mkubwa Waibuka 40 ya Mzee Majuto

Image
NancyTheDreamtz AMA KWELI kufa kufaana! Hayo ndiyo maneno unayoweza kusema endapo yatakufikia madai ya utapeli mzito unaofanywa na baadhi ya watu wakiwemo wasanii wa kuchangisha pesa kinyume na taratibu wakidai eti ni kwa ajili ya kufanikisha 40 ya marehemu Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Taarifa hiyo ya kushtua ilipenyezwa na mmoja wa wasanii wa komedi Bongo, Jabir Ally ‘Wajajo’ ambaye alidai kuwa, akiwa katika mishemishe zake Mitaa ya Kariakoo jijini Dar alikumbana na baadhi ya wafanyabiashara waliohoji juu ya uhalali wa watu hao kuchangisha michango ya 40 hiyo. Alisema: “Kuna jambo la kushangaza sana nimekutana nalo huku Kariakoo, kuna watu wanapita kwenye maduka na kuomba michango ya kufanikisha 40 ya Mzee Majuto, mimi sikuwa na taarifa ya utaratibu huo, nikahisi kuna utapeli unafanyika. “Lakini katika kufuatilia nikagundua yupo pia msanii aliyewahi kufanya kazi kwa karibu na Majuto, Bi Rehema, naye anapita kuomba michango, nilipomuuliza akase...

Msuva afunguka sababu ya kutoka sare na Uganda

Image
NancyTheDreamtz Mshambuliaji wa klabu ya soka ya EL Jadida ya Nchini Morocco amesema licha ya kutoka sare katika mchezo wao dhidi ya Uganda katika uwanja wa mandela. Akizungumza na Global TV Saimoni Msuva amesema licha ya kupata matokeo mabaya ugenini amesema uwanja ulichangia kufanya wao wasipate matokeo mazuri dhidi ya Uganda. Kwa upande mwengine mshambuliaji huyo amewataka wachezaji waki Tanzania kuwa na hali ya Uthubutu ilii kuweza kufikia malengo yao.

Drake na Meek Mill wamaliza bifu lao mbele ya mashabiki

Image
NancyTheDreamtz Baada ya ma-rapper wawili nchini Marekani Meek Mill na Drake mwaka 2015 kuingia kwenye bifu zito la kutupiana maneno makali, hatimaye wawili hao kwa sasa wamemaliza bifu lao. Wawili hao wameuthibitishia umma jana usiku mjini Boston nchini Marekani  kwenye jukwaa la tamasha la Aubrey and the Three Migos, ambapo Drake alipanda  na kutumbuiza na Drake kisha kukumbatiana na kuonesha ishara kuwa wawili hao kwa sasa ni marafiki. Meek Mill alipanda jukwaani na kuungana na Drake kisha kuanza kutumbuiza wimbo wa Dreams and Nightmares pamoja huku mamia ya watu wakipiga makelele ya furaha. Drake na Meek Mill waliingia kwenye bifu kali baada ya mrembo Nicki Minaj kuingia kwenye mahusiano na Meek Mill na kuanza kumtumia vijembe Drake jambo ambalo liliamsha hisia kali kwa Drake na kumjibu Meek Mill kwa wimbo wa Back to Back. Tazama video ya wawili hao wakitumbuiza jana jukwaani

Msafara wa Rais Magufuli Wapata Ajali Simiyu, Waandishi wajeruhiwa

Image
NancyTheDreamtz Gari lililokuwa limebeba waandishi wa habari wa Mkoa wa Simiyu limepata ajali kwenye msafara wa Rais John Magufuli wilayani Meatu ambapo liligongwa na magari mengine kwa nyuma. Waandishi wa habari watatu, Adan Mhando wa Channel Ten, Faustine Fabian wa Mwananchi, Rehema Evansi wa Azam TV, na Mpiga picha wa ITV, wamepata majeraha madogomadogo na wamekimbizwa hospitali ya wilaya Meatu. Wengine waliokuwemo katika  ajali hiyo na kunusurika ni Berensi China,Samwel Mwanga,Derick Milton,Costantine Mathias na Rehema Evance. 

Mara ya Tatu Sasa Namwota Secretary wa Kazini Kwetu Nikifanya Nae Mapenzi

Image
NancyTheDreamtz Kaushauri ndugu zangu; usiku wa kuamkia leo ni siku ya tatu siyo mfululuzo naota nafanya mapenzi na secretary mmoja ambae yupo kazini kwetu ila sipo nae ofisi moja. Sijawahi kumtongoza, sina feelings zozote na yeye, wala sijawahi kufikiria kumtongoza. Hizo mara mbili nilivyomwota sikumwambia maana niliona kama ninaweza kujenga ukaribu ambao sijau-plan. Lakini mara hii ya tatu naona si vema nikae tu kimya maana siku hiz watu wana technic-know-how. Nitamweleza mbele za watu kuwa nimeota nimefanya nae mara tatu. Sina mazoea ya kuota kufanya mapenz ndotoni imetokea kwake tu ndo maana nimeona si kitu cha kawaida kwangu na pia bora angekuwa mtu hata nam-feel ningechukulia hivo. Naombeni Ushauri Kwa Wanaojua Mambo ya Ndoto

Rais Magufuli apingana na Waziri wake wa Afya, asema Watanzania zaeni hakuna uzazi wa mpango

Image
NancyTheDreamtz Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amepingana na sera ya serikali yake ya uzazi wa mpango akidai kuwa sera hiyo inapunguza nguvu kazi kwa taifa. Rais Magufuli Rais Magufuli akiwahutubia mamia ya watu leo Septemba 9, 2018 mjini Meatu Mkoani Simiyu, ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika mikoa ya kanda ya ziwa, amesemW watanzania waendelee kuzaa lakini wachape kazi ili kukidhi mahitaji ya watoto wao. ” Najua Waziri wa Afya Ummy Mwalimu hapa angependa kuongelea mambo ya uzazi wa mpango lakini mimi mengine huwa sikubaliani nayo sana, utapangiwaje kuzaa ?..Kwahiyo katika kushauriwa mengine tukubali na mengine tukatae tutumie msemo wa mzee Jakaya Kikwete ‘Ukiwambiwa changanya na za kwako’ kuzaa ni muhimu’ ”amehoji Rais Magufuli na kutolea mfano wa nchi ambazo alishawahi kuishi na hakusikia wimbo wa uzazi wa mpango. “ Mimi Ulaya nimekaa, nafahamu madhara ya kutokuzaa, nchi gani sijaenda, Japan nimekaa, Uingereza nimekaa mwaka mzima, Ujerum...

Ruge Mutahaba na Nikki wa Pili watoa neno kwa muandaaji wa shindano la Miss Tanzania 2018

Image
NancyTheDreamtz Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds FM, Ruge Mutahaba, na Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nikki wa Pili wamemmwagia sifa za kutosha Muandaaji wa shindano la Miss Tanzania 2018, Basilla Mwanukuzi. Basilla Mwanukuzi. Ruge kwenye barua yake ya pongezi amesema Bi. Basilla amerudisha heshima ya shindano hilo ambalo lilikuwa linaonekana kupoteza sifa yake kwa miaka ya hivi karibuni. “ Basila Hongera sana mdogo wangu, kikubwa ulichofanikisha kufanya ni kuanza kurudisha imani kwa waliopoteza imani na hiyo brand. Sio siri, itakuchukua mwaka mmoja, miwili hata mitatu kufika kwenye level ya kupata the same integrity na value iliyokuwa imepotea. Kurudisha imani za wadhamini, wahisani na mwisho sisi wananchi tutarudi labda kwa ukubwa kuliko ilivyokuwa. Umefanya makosa mengi sana kwenye hii hatua ila ni sehemu ya ukuaji because najua hakuna mtoto anajaribu kutembea bila kuangukaanguka. Kama Clouds Media Group tupo na wewe na mawakala wote kwa pamoja mmewezesha jambo...

Muigizaji Elizabeth ‘Lulu’ Michael amaliza kimya chake cha mwaka mmoja mitandaoni, amuandikia ujumbe mzito Majizzo

Image
NancyTheDreamtz Baada ya kimya cha muda mrefu cha takribani siku 324 mitandaoni, hatimaye Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael almaarufu Lulu amerudi rasmi kwa kumuandikia ujumbe mahsusi mpenzi wake Majizzo ambaye pia ni Mkurugenzi wa EFM na TV-E . Majizzo na Lulu Lulu ameandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika, “ Lover,Best Friend,Business Partner,Ride Or Die And A Shoulder To Always Cry On. Asante Kwa Kunionyesha Maana Halisi Ya Upendo Wa Agape(KIUNGU). Baraka Zikufuate Siku Zote Za Maisha Yako. ” . Lulu hajawahi kuposti kitu chochote kile mtandaoni tangu mwaka jana ahukumiwe jela na baadae kutolewa jela kwa msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ujumbe huo pia ameutoa leo ikiwa ni siku ya kumbu kumbu ya kuzaliwa kwa Majizzo. Mashabiki wake wameoneshwa kufurahishwa zaidi na kitendo hicho kwa kuishambulia posti hiyo kwa kumkaribisha mitandaoni.

Ommy Dimpoz atoka Afrika Kusini kwenye matibabu na kutua Kenya akiwa mwenye afya njema, abadilisha muonekano (+picha)

Image
NancyTheDreamtz Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ambaye kwa miezi miwili amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya koromeo, hatimaye msanii huyo amepona kabisa kwa ushahidi wa picha alizopiga akiwa nchini Kenya. Ommy Dimpoz Kwa mujibu wa kinyozi maarufu nchini Kenya, George Dufanda ameposti picha za msanii huyo akiwa katika muonekano tofauti kabisa lakini mwenye uso wa tabasamu. Maelezo kutoka kwa watu wanaofanya kazi karibu na Ommy Dimpoz wamesema msanii huyo amewasili nchini Kenya wiki moja iliyopita ma ameahidi kufanya Birthday Party yake nchini humo Septemba 17. Bado haijajulikana kwa nini Ommy Dimpoz hajafikia Tanzania nyumbani kwake moja kwa moja. Tazama picha zake akiwa na kinyozi huyo maarufu nchini Kenya. Ommy Dimpoz akiwa na kinyozi aliyemnyoa Ommy Dimpoz wiki mbili zilizopita alirudishwa tena nchini Afrika Kusini akitokea Tanzania kwa kutazamwa maendeleo ya afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo wa koromeo miezi miwili iliyopita.

Msemaji wa Jeshi la Polisi Uganda mwenye ukaribu zaidi na Bobi Wine auawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana

Image
NancyTheDreamtz Facebook Twitter Share via Email Aliyewahi kuwa Msemaji wa jeshi la polisi mjini Buyende, Muhammad Kirumira ambaye pia amekuwa karibu na msanii wa muziki nchini humo, Bobi Wine ameuawa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani nyumbani kwake jana Jumamosi Septemba 8, 2018. Kamanda Muhammad Kirumira (kushoto) akiwa na Bobi Wine Kufuatia kifo hicho, Bobi Wine ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kyadondo ametuma salamu za rambi rambi kwa familia yake na kueleza ukaribu wake na Muhammad kupitia ukuarasa wake wa Twitter. Am so saddened by the terrible news of the shooting of my good friend, and outspoken police officer, Muhammad Kirumira. Very sadly, that is the country we are living in. NO ONE IS SAFE. Our country is bleeding. This is very painful. View image on Twitter BOBI WINE ✔ @HEBobiwine Am so saddened by the terrible news of the shooting of my good friend, and outspoken police officer, Muhammad Kirumira. Very s...