Posts

Showing posts from August 16, 2018

Rosa Ree "Sijali Wanaoponda Mimi Kubinua Mdomo, Maneno ya Watu Hayanilipii Bills"

Image
Female Rapper, #RapGoddess @rosa_ree amesema kuwa hakuna mtu anamsumbua au kumfanya akate tamaa kuhusu muziki wake eti sababu ikiwa ni Swag zake za kubinua mdomo, au kutoa Ulimi nje Rosa Ree amesema maoni ya watu kama hayo hayamuharibii chochote na kubinua kwake mdomo ndio kumemfanya apate Supermarket, ana Kolabo na International Artist Kibao na bado anaendelea kuzifanya na kwa sababu maoni hayo sio pesa basi wala hatakata tamaa yeye kuendelea kusonga mbele zaidi.

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

Image
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za: FUUl POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30. NYAMVA:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa

Hivi Ndivyo Wema Sepetu Alivyowafunika wasanii wa kike wa Tanzania

Image
Muigizaji wa filamu mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema Sepetu, amekuwa msanii wa kwanza kwa wanawake Tanzania kufuatiliwa na watu wengi zaidi ya milioni 3.7 kupitia mtandao wa Instagram, huku nafasi ya pili ikishikwa na Jackline Wolper ambaye ana followers milioni 3.4. Nafasi ya tatu imeshikwa na Vanessa Mdee ambaye ana followers milioni 3.3, akifuatiwa na Shilole mwenye 'followers' 3.2 huku Linah Sanga akishika nafasi ya tano kwa 'followers' milioni 2.8. Hayo yamebainika baada ya utafiti uliofanywa na www.eatv.tv kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram leo Agosti 16, 2018, wenye lengo la kutaka kufahamu ukubwa wa majina waliyokuwa nayo wasanii hao kama unafanana na idadi ya watu wanaofuatilia na kuwakubali mitandaoni, licha ya watu hao kuwa wanatoka maeneo mbalimbali ya miji. Mbali na hao, muigizaji Elizabeth Michael (LULU) ameshika nafasi ya sita kwa 'followers' milioni 2.6, mkongwe wa bongo fleva, Lady Jay Dee maarufu kama &

Waziri Mkuu Aagiza Kukamatwa Kwa Mtendaji....Ni baada ya upotevu wa sh milioni 141 za kijiji

Image
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU wa wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Bw. Francis Zuakuu kumkamata aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Bulagamilwa, Bw. Ntemi James kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa sh. milioni 141 za kijiji hicho. Ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Agosti 16, 2018) wakati akizungumza na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Igunga, akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani Tabora. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo baada ya Mbunge wa Manonga, Bw. Seif Gulamali kumuomba awasaidie katika kulipatia ufumbuzi suala hilo la upotevu wa fedha za kijiji kwa kuwa ni la muda mrefu na hakuna hatua zilizochukuliwa. Kutokana na malalamiko hayo Waziri Mkuu amemtaka kamanda wa TAKUKURU wa wilaya hiyo ahakikishe anawatafuta watu wote waliohusika na upotevu wa fedha hizo za kijiji akiwemo na alitekuwa mtendaji wa kijiji cha Bulagamilwa, ambaye kwa sasa ni Mtendaji wa kata ya Igurubi. Katika hatua nyingine,Waziri Mkuu a

Binti Aliyetaka Kujiua Apata Nafasi Nyingine ya Kuishi Baada ya Kupandikizwa Sura

Image
Katie Stubblefield alikuwa na umri wa miaka 18 wakati alipopata majeraha makubwa baada ya kupigwa risasi. Aliokolewa maisha yake hospitalini ingawa majeraha aliyoyapata yalimfanya msichana huyu maisha yake yabadilike na muonekano wa uso wake ulikuwa umebadilika karibu wote. Kwa sasa msichana huyo ana umri wa miaka 22 na ameweza kuonyesha matokeo ya upandikizaji wa uso wake ulichukua miaka kadhaa katika jarida la 'National Geographic' Chapisho hili lilipata nafasi ya kipekee katika kilniki ya Ohio ambayo ilimfanyia upasuaji binti huyo wakati akiwa ana umri wa miaka 21. Waandishi wa habari na wapiga picha walifuatilia upasuaji huo tangu maandalizi yanaanza mpaka wakati wa upasuaji ambao ulitumia muda wa saa 31. Picha ya sura ya Katie ambayo ipo juu ya jarida hilo la mwezi wa septemba iliweza pia kusimuliwa katika Makala ya kwenye mtandao. Mpaka sasa ni watu 40 tu ndio wameweza kubadilishwa muonekano wa sura zao.Mtu wa kwanza kufanyiwa upandikizaji huo ilik

Huyu ndie Mamba anaeabudiwa kama Mungu Nigeria

Image
Watu huwa na imani tofauti na huabudu vitu vingi duniani. Nchini Nigeria, kuna kabila moja ambalo humuabudu mamba kama miungu. Mamba huyo wanayemuabudu kwa sasa ana umri wa miaka 78. Wakazi wa eneo hilo la Oje viungani mwa mji wa Ibadan kusini magharibi mwa Nigeria humuenzi mamba huyo sana na wanaamini kwamba mamba huyo anaweza kujibu maombi yao. Huwa wanamrushia kuku kama zawadi kumshawishi kutimiza maombi yao, wengine humpa mbuzi.  Anadaiwa kuanza kufugwa na familia hiyo kuanzia mwaka 1940 baada ya mamba mwingine aliyekuwa akifugwa kabla yake kuchukuliwa na Wazungu. Ajabu ni kwamba familia hiyo yenyewe huwa haiamini kwamba ana nguvu zozote za kipekee. Kiongozi wa sasa wa familia hiyo ya Delesolu, Bw Raufu Yesufu, aliambia BBC kwamba: "Kwa sababu ya Imani yetu, sisi ni Waislamu, hatuamini kwamba ana nguvu zozote." Anasema waganga wa kienyeji na matabibu wengine huwa wanafika kwa sababu mbalimbali kutafuta msaada. Baadhi hufika kuomba usaidizi katika k

Tanzania yashindwa kusogea, yazidiwa na Uganda FIFA

Image
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeeendelea kuganda palepale katika viwango vya soka duniani kwa mujibu wa listi ya shirikisho la soka duniani FIFA iliyotelewa leo, Agosti 16. Taifa Stars imeendelea kushikilia nafasi ya 140 ikiwa nafasi nne nyuma ya Rwanda inayokamata nafasi ya 136 na nafasi nane juu ya Burundi ambayo inashikilia nafasi ya 148 katika viwango hivyo. Uganda ‘The Cranes’ imeendelea kuongoza soka la Afrika Mashariki, ikisalia nafasi ileile ya 82 ya mwezi uliopita ikifuatiwa na Kenya iliyo katika nafasi ya 112 huku nafasi ya mwisho kwa nchi za Afrika Mashariki ikishikiliwa na Sudan Kusini ambayo ipo nafasi ya 156. Kwa bara la Afrika, Tunisia inaongoza ikiwa katika nafasi ya 24 baada ya kuporomoka nafasi tatu nyuma toka mwezi uliopita, ikifuatiwa na Senegal iliyopo nafsi hiyohiyo ya 24 baada ya kupanda nafasi tatu tofauti ikiwa ni katika alama ambapo Tunisia ina alama 910 huku Senegal ikiwa na alama 838. Bingwa wa kombe la dunia mwaka huu, timu ya

Kamanda siro atolea ufafanuzi suala la mwandishi wahabari kupigwa na asikari

Image
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema kuwa Mwandishi wa habari aliyepigwa na polisi wakati akitekeleza majukumu yake katika Uwanja wa Taifa ulioko jijini Dar es Slaam alikuwa mbishi na alimkaba Askari polisi akitaka kuingia sehemu ambayo imekataliwa kuingia, ndipo askari wakawa na hasira na kuanza kuvutana ndipo ugomvi Ukaanza. IGP Sirro amesema hayo leo wakati akiwasili jijini Arusha kwa ziara yake ya kutembelea eneo la Mto wa Mbu ambapo yalitokea matukio ya wanawake kubakwa na kuuawa ,ziara ambayo inalenga kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa matatizo hayo ikiwa ni kuimarisha ulinzi na kuongeza idadi ya polisi. Sirro amesema kuwa katika tukio la kupigwa mwandishi wa habari kuna uchunguzi unafanyika ambapo baadae wataelezea ukweli baada ya kukamilisha. Amesema kuwa mwanzo inaonekana mwanahabari alifanya vurugu na jalada lazima lifunguliwe pamoja na askari polisi waliokuwa wanampiga upelelezi utafanyika ili kuchukua hatua kwa sababu kila jmbo linataka up

Meneja wa WCB, Sallam SK adai hakuna bifu kati ya Diamond na Alikiba

Image
Moja ya mameneja kutoka kwa WCB, Sallam SK amefunguka kuhusu bifu la Diamond la Alikiba. Katika mahojiano na The Playlist ya Times Fm amesema wasanii hao hawana bifu na kama lipo kuna watu wametengeneza. "Actually hamna ugomvi, hivi vitu vilitengenezwa na actually watu waliotengeneza wanajulikana, haina haja ya kuwataja kuwa airtime sana," amesema. "Kati ya Ali na Diamond hamna bifu hata siku moja, haijawahi kutokea na uongozi wa Ali na wetu tunakutana tunacheka na kuongea," amesema Sallam.