Tajiri Namba Moja Duniani, Jeff Bezos Wamwagana na Mkewe wa ndoa, Skendo za Usaliti Zahusishwa
NancyTheDreamtz Jeff Bezos na mkewe Tajiri namba moja duniani, Jeff Bezos wamwagana na mkewe wa ndoa, skendo za usaliti zahusishwa Godfrey Mgallah 19 hours ago 1,062 FacebookTwitterShare via Email Afisa Mtendaji Mkuu na mwanzilishi wa mtandao wa Amazon, Jeff Bezos na mkewe MacKenzie wamepeana talaka baada ya kuishi miaka 25 kwenye ndoa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wawili hao kwenye mtandao wa Twitter, wameeleza kuwa watabaki kuwa marafiki biashara na kulea watoto pamoja. View image on Twitter Jeff Bezos ✔ @JeffBezos 31.3K 6:17 AM - Jan 9, 2019 11.4K people are talking about this Twitter Ads info and privacy “Baada ya kuishi kipindi kirefu cha misukosuko na kujaribu kutengana, hatimaye tumeamua kuachana na kuendelea na maisha yetu kama marafiki,“imeeleza taarifa hiyo. Ni miaka miwili sasa imepita tangu wawili hao waingie kwenye mifarakano, baada ya skendo ya Jeff kumsaliti mkewe kwa mwanamke wa raf...