Posts

Showing posts from June 9, 2021

H BABA: DIAMOND akimuoa ZARI nitatoa zawadi kubwa zaidi, tumuombee ashinde BET ili ajifunze

Image
H BABA: DIAMOND akimuoa ZARI nitatoa zawadi kubwa zaidi, tumuombee ashinde BET ili ajifunze VIDEO: NancyTheDreamtz

Nawakumbusha Wanaharakati wa Twitter Kuwa Huwezi Kuua Mziki Mzuri, Kujaribu Kumshusha Diamond Platnumz ni Uzuzu

Image
  Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI. Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo nilishuhudia karibu 90% ya muziki uliokuwa unapigwa basi ulikuwa ni wa Diamond ama msanii wa kundi lake, wakizidi sana walikuwa wanapiga muziki wa Nevy Kenzo "kamatia chini". Ni akili iliyojaa matope tu kujaribu kuzuia nyota wa pop wa Tanzania Diamond Platnumz eti asishinde tuzo za BET2021 eti kwa sababu aliiunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020. Huyu kijana nyota licha ya kwamba ana kipaji ni mtu mwenye juhudi zisizo na mfano hasa ukichukulia kwamba anatoka nchi iliyojaa vijana wavivu wa kufikiri na wasio na juhudi ya kutafuta mali. Diamond Platnumz ameajiri vijana wengi sana na hivyo kuboresha maisha ya watanzania wengi bila ya kujali itikadi zao. Diamond ni mfanya biashara hivyo hachagui afanye kazi na nani, hata siku CHADEMA wakija n...

Diamond Kamfanyia Kufuru DIVA Ampa Gari na Mshahara Mara Tatu ya Aliokuwa Akilipwa Clouds FM

Image
Diva atua Wasafi FM, Diamond ampa gari na mshahara mara tatu ya aliokuwa akilipwa Clouds VIDEO: NancyTheDreamtz

Diva "Diamond alinifungulia kesi akinidai bilioni 1.5 ila aliifuta, nilifurahi sana

Image
Wakati anakaribishwa Mtangazaji huyo mpya wa #WasafiFm ameeleza kuwa @diamondplatnumz aliwahi kumfungulia kesi akimdai bilioni moja na nusu (1.5bil) na yeye akafungua kesi kama ile ile. @divatheebawse ameeleza kuwa yeye hapendi mambo ya kesi na alikuwa anaumia sana kuitwa polisi lakini siku moja alipigiwa simu na mwanasheria wake akimwambia kuwa @diamondplatnumz ameifuta ile kesi @divatheebawse anasema alifurahi sana. Tena kuna kipindi niliumwa akanipigia simu akaniuliza umepona..? Na nilipokutana naye nikamtajia vitu ninavyotaka hakutaka majadiliano aliniambia atanipa vyote. NancyTheDreamtz

Diva "Nilimtajia Diamond msharaha na vitu ninavyotaka hakutaka majadiliano alikubali"

Image
Wakati anakaribishwa Mtangazaji huyo mpya wa #WasafiFm ameeleza kuwa @diamondplatnumz aliwahi kumfungulia kesi akimdai bilioni moja na nusu (1.5bil) na yeye akafungua kesi kama ile ile. @divatheebawse ameeleza kuwa yeye hapendi mambo ya kesi na alikuwa anaumia sana kuitwa polisi lakini siku moja alipigiwa simu na mwanasheria wake akimwambia kuwa @diamondplatnumz ameifuta ile kesi @divatheebawse anasema alifurahi sana. Tena kuna kipindi niliumwa akanipigia simu akaniuliza umepona..? Na nilipokutana naye nikamtajia vitu ninavyotaka hakutaka majadiliano aliniambia atanipa vyote. NancyTheDreamtz

Diva "Diamond ananilipa mshahara mara tatu ya mwanzo na amenipa gari mpya"

Image
Mtangazaji mpya wa #WasafiFm @divatheebawse ameeleza kuwa kwenda Wasafi @diamondplatnumz amemlipa msharaha mara tatu na kupewa zawadi ya gari. @divatheebawse hakuweka wazi analipwa mshahara wa kiasi gani lakini amesema kuwa @diamondplatnumz atakuwa anamlipa mara tatu ya mshahara wa mwanzo. Akiongea wakati anakaribishwa @divatheebawse amesema kuwa amepewa gari ingawa hajasema gari ya aina gani. @divatheebawse atakuwa anafanya kipindi cha #LaviDavi kupitia Wasafi amnacho kitahusu mambo ya mahusiano kama ilivyokuwa Cloudsfm. NancyTheDreamtz

MANGE KIMAMBI amuomba kazi DIAMOND, "Kama umemchukua DIVA na mimi pia nikutengeneze"

Image
MANGE KIMAMBI amuomba kazi DIAMOND, "Kama umemchukua DIVA na mimi pia nikutengeneze" VIDEO: NancyTheDreamtz