Posts

Showing posts from August 20, 2018

Sikuwahi kuolewa, najua tunakokwenda wanawake watakuwa na nguvu kuliko akina baba – Mh. Anne Makinda (+video)

Image
NancyTheDreamtz Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Anne Makinda ameelezea historia yake fupi ya maisha toka enzi anasoma hadi kuja kufanikiwa kuwa kiongozi mkubwa bungeni. Mhe. Anne Makinda Mhe. Makinda amesema maisha yake yote yalikuwa bungeni na kipindi hicho amesema kuwa alikuwa na fujo sana kuliko hizi ambazo zinafanywa na baadhi ya wabunge wa vyama vya upinzani bungeni. “ Mimi maisha yangu yote yalikuwa bungeni, mimi mwenyewe kama kuwa mtu wa fujo i was of those.. nilikuwaga backbencher nilikuwa na fujo nawambia ndugu zangu akina Tundu Lissu kuwa kwanza nyie hamuwezi kunifikia mimi, “amesema Anna Makinda. Akielezea upande wa mahusiano Bi. Makinda amesema yeye hakuwahi kubahatika kuolewa na amewaasa wanawake waliokwenye ndoa kuwa makini sana pale wanapopata mafanikio kwani ndio kipindi cha kushirikiana karibu sana na wanaume zao ili kufika mbali. “ Mimi sikuwahi kuolewa lakini nilipopata mtoto wangu, aliyenisaidia sana ni dada yangu...

Harakati za Computer Repair Zinavyokwenda siku hadi siku na Nancy Arthur The dreamTz

Image
NancyTheDreamtz Karibuni sana wadau katika mapambano ya hapa kazi tu na sisi tunasema hapa computer tu kwakila jambo katika kukimbiza gurudumu la maisha tunapambana

CCM Waomboleza Kifo cha Dada wa Rais Magufuki

Image
NancyTheDreamtz CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha dada wa Rais John Magufuli,  Monica Joseph Magufuli, aliyefariki dunia jana asubuhi tarehe 19 Agosti, 2018 katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa matibabu

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

Image
NancyTheDreamtz Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO...

RC Makonda Amtaka Majizzo Afunge Ndoa na Lulu Haraka

Image
NancyTheDreamtz Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda amefunguka na kumtaka mkurugenzi wa EFM, Majizzo afunge ndoa na msanii Elizabeth Michael haraka iwezekanavyo la sivyo atamfunga. RC Makonda amefunguka hayo Kwenye mazungumzo na waandishi wa habari kwenye tamasha la Komaa Concert jana jijini Dar es salaam, ambapo amesema kuwa kutokana na imani yake hataki kuwaona marafiki zake wanakuwa mabachela na kuahidi kuwafunga jela endapo watakiuka ahadi zao za kuoa. Marafiki zake aliwataja na kuwataka waoe mara moja ni pamoja na Majizzo, Leo Mutuz, Meya wa Kinondoni na kuhaidi kuwafunga endapo hawatafanya hivyo. Nina ndoa kubwa tatu lazima nizisimamie na wasipooana nawafunga, moja ni Majizzo unajua mimi ni mkristo kwenye Biblia inasema wengine wataokolewa kwa moto. Sasa Majizzo tayari yupo kwenye mipango na binti yangu Lulu wameshakuja nyumbani tumeshafanya vikao vingi vya kupanga harusi. Lakini kuna harusi nyingine ya Meya wa Kinondoni nimemwambia na yeye asipooa namfunga. Lakini kun...

Madaktari Wajitolea Kumtibu Bobi Wine

Image
NancyTheDreamtz Mbunge wa Kyadondo Mashariki, nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu 'Bobi Wine' amepata matatizo ya figo na inaelekea kutokufanya kazi. Hii ni kwa mujibu wa Mawakili wake waliokwenda kumtembelea Mbuge huyo katika Kambi ya Jeshi ya Makindye anakoshikiliwa Kwa mujibu wa gazeti la Uganda la Daily Monitor, Madaktari hao hii leo kupitia Chama cha Madaktari nchini humo, (UMA), wako tayari kumpatia Mbunge huyo matibabu ya kitaalam ya hali ya juu ambaye sasa inaelezwa anapigania maisha yake katika kambi hiyo ya kijeshi Madkatari hao wametoa ombi hilo baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Mawakili wa Bobi Wine, wakisema mteja wao anahitaj haraka matibabu ya kitaalam ili kuokoa maisha yake. Hata hivyo wamesema hawawezi kutekeleza matibabu hayo bila kupata idhini kutoka Serikalini, kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Rais wa UMA, Dk. Ekwaro Obuku. Hayo yanajiri ikiwa ni siku chache tangu dereva wa Bobi Wine, kuuawa kwa kupigwa risasi katika vurugu wakati wa kampeni ...

Irene Uwoya Ageuka Mbogo Baada Ya Kuulizwa Kuhusu Dogo Janja

Image
NancyTheDreamtz Msanii wa filamu za Bongo Movie Mrembo Irene Uwoya amemwaga povu zito baada ya kuulizwa sababu za kutomposti mume wake Staa wa Bongo fleva Dogo Janja Kwenye kitandani zake za mitandao ya kijamii. Kwa muda sasa kumekuwa na tetesi kuwa Irene Uwoya na mume wake Dogo Janja hawana maelewano na tetesi hizo zimezidi baada ya wawili hao kutopostiana Kwenye social media kama siku za nyuma. Kwenye mahojiano na Risasi Jumamosi, Uwoya amemwaga povu na kudai  kuwa siyo lazima kila mara atamposti kwani ana mambo mengi ya kuandika na atafanya hivyo endapo tu imebidi. Siyo kila mara nitakuwa natumia kurasa zangu kumposti Dogo, nina mambo mengine ya kufanya pia, itakapobidi kufanya hivyo nitafanya”. Lakini pia Uwoya alihojiwa hayo baada ya kila mara kuonekana akiposti picha za kuwa ndani ya ndege ambapo wapo waliosema kuwa kwa sasa amekuwa akisafiri na kumuacha mumewe huyo peke yake. Siyo kweli, mimi sisafiri mara kwa mara, zile ni picha tu nimewahi kusafiri mara moja nilipokua ...

Baba Jokate Awafunda Wema Sepetu na Irene Uwoya

Image
NancyTheDreamtz Baba mzazi wa Msanii na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate, Mzee Urban Costa Ndunguru amefichua siri nzito inayowafanya mpaka Wema Sepetu na Irene Uwoya Wasafikie malengo yao kisiasa. Kwenye mahojiano na gazeti la ‘Amani’ Nduguru aliliambia Amani katika mahojiano maalum kwa njia ya simu hivi karibuni kuwa: Mwanangu, Wema, Uwoya wote wana ndoto za kuwa wanasiasa na viongozi wa umma lakini hawa wawili kuna mambo yanawakosesha fursa. Mimi Uwoya simfahamu sana, namsikia tu habari zake kwenye magazeti, lakini Wema namfahamu kwa sababu baba yake (marehemu Isack Sepetu) nimefanya naye kazi serikalini. Matatizo yanayowakosesha nafasi za kufikia ndoto zao hawa watoto yako mengi lakini kubwa kabisa ni kuiacha misingi bora waliyolelewa na wazazi wao. Siri kubwa ya kufanikiwa hasa katika kutumikia watu ni kujiheshimu na kufanya mambo kwa siri, siyo kwenda kiholelaholela, unajivunjia heshima mwenyewe”. Lakini pia Baba Jokate amewataka warembo hao wawili kuiga mfano wa Jokate: ...

Mtwara Computronics 2018

Image
NancyTheDreamtz I think those devices will show you well what we need from you Lenovo E73 Desktop Tower Power Supply we need and picture number four it seems good to make you understanding what i need  (Chandoo Computer Dealers)