Posts

Showing posts from September 6, 2018

Amber Rutty Afunguka Ukweli Kuhusu Video ya Ngono Akishiriki Mapenzi na Wanaume Wawili

Image
NancyTheDreamtz Amber Rutty Afunguka Ukweli Kuhusu Video Yao Ya Ngono Na Mabantu Video imesambaa akiwa kitandani na wanaume wawili wakifanya yao Msikie hapa chini: 

Nilitamani kuwa mwanajeshi – Mbwana Samatta

Image
NancyTheDreamtz Mshambuliaji hatari ndani ya klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji raia wa Tanzania, Mbwana Samatta amesema kuwa kabla ya maisha yake ya soka alitamani kuwa mwanajeshi. Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram huku akiwaacha washabiki wake na swali. Muda mwingine mungu akupi unaloliomba ila anakupa linalo kustahili… Kabla ya soka,nilikuwa natamani kuwa mwanajeshi,je kwa sura hii unadhan ningependeza kuwa soja? Kwa sasa nyota huyo yupo njiani akielekea nchini Uganda akiwa na wachezaji wenzake wa Taifa Stars kwaajili ya kuikabili timu ya Uganda ‘The Cranes’ ikiwa ni mchezo wa kuwania kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon utakao pigwa siku ya Jumamosi ya Septemba 8 mwaka huu 2018.

Alikiba kuchafua hali ya hewa? mashabiki watabiri neema

Image
NancyTheDreamtz Msanii wa muziki Alikiba baada ya ukimya wa muda mrefu ame-teaser picha inayodaiwa kuwa ni screenshot ya video yake mpya. Muimbaji huyo toka aachie ‘Mvumo Wa Radi’ mwezi May mwaka huu alikuwa kimya lakini baadaye alikuja na project ya Mofaya. Ali ambaye aliingia kwenye maisha ya ndoa miezi miwili iliyopita, alijitupa tena kwenye maisha ya soka baada ya kuwa mdhamini mkuu wa timu ya ligi kuu ya Coastal Union ya Tanga kupitia kinywaji chake cha Mofaya. Alhamisi hii amepost screenshot ya picha mtandaoni ambayo mashabiki wengi wa muimbaji huyo wanadai kuwa huwenda ikawa ni project mpya. Mapema mwezi uliopita Bongo5 ilipiga stori na mdogo wa muimbaji huyo, Abdul Kiba na kudai project ambayo inakuja atashirikiana na kaka yake wakiiwakilisha label ya King Music.