Ni muda wa kudondosha hit nyingine- Diamond



Mkali wa Bongo Fleva anaeendelea kuteka vichwa vya habari ndani na nje ya nchi , Zuchu , ameonesha dalili kuwa Muda wowote kuanzia hivi sasa , atawadondoshea Mashabiki zake ngoma mpya .


Kupitia ukurasa wake wa Instagram , imesomeka “comment “ ya CEO wa WCB Diamond Platnumz ikiesema kuwa sasa ni Muda wa Malkia huyo kuachia Kazi mpya .


Kupitia ujumbe huo , SIMBA Diamond Platnumz ameandika “It’s Time to Drop another Hit Zulu” , akimaanisha kuwa sasa ni Muda muafaka wa kudondosha HIT mpya Mjini .


NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele