Posts

Showing posts from August 14, 2018

Yanga Yachangiwa Zaidi ya Milioni 3 na Wadau Wake kwaajjili ya Kuchangia Timu

Image
Uongozi wa Yanga umeweka hadharani kiasi cha fedha ilichopokea kutoka kwa wadau wake ambazo ni za mchango kwa ajili ya kuisaidia klabu. Hivi karibuni Yanga kupitia Kaimu Katibu wake, Omary Kaaya, alitangaza kuanzisha utataribu wa kuichangia klabu ili iweze kuendesha shuguli zake muhimu kutokana na kupitia kipindi cha mpito. Katika siku nane za mwanzo kuanzia Agosti 2 mpaka 10, Yanga imepokea kiasi cha shilingi za kitanzania 3,073,263. 

Harmonize na Dully Sykes Kimewaka Tena....

Image
Achana na Utengenezaji wa Video ambayo jana alitangaza kuwa leo wanaenda kuitengeneza @harmonize_tz pamoja na Star wa RnB kwenye Game ya Bongo Fleva @iambenpol au ujumbe wake kuhusu kufanya kazi na One of the best Hip Hop Icon @professorjaytz Hii ni Nyingine tena ambayo Star kutoka label ya WCB @harmonize_tz ataitoa katika list ya Track ambazo ameshazirekodi mpaka sasa na wakati huu amefanya na @princedullysykes Kupitia Page yake ya instagram Harmonize amepost na kuandika kuwa  Ngoma na Nusu....!!! Trust me @princedullysykes thanks for another opportunity #KingDully - ikiwa ni mara nyingine tena anapata nafasi hiyo na anashukuru kwa kupata nafasi hii tena ya kufanya kazi pamoja na Dully Sykes

UN yammwagia pongezi Kabila kwa kutogombea tena

Image
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepongeza uamuzi wa Rais Joseph Kabila kutowania muhula mwingine katika uchaguzi ujao wa DRC, na kusema uchaguzi huo unapaswa kupelekea makabidhiano ya amani ya madaraka.  Baraza hilo pia limevihimiza vyama hasimu vya siasa nchini humo, pamoja na taasisi zinazohusika na maandalizi ya uchaguzi huo wa mwezi Desemba, kuhakikisha kuwa zoezi la upigaji kura linakuwa la amani na la kuaminika.  Baraza hilo ambalo ndiyo chombo chenye nguvu zaidi ndani ya Umoja wa Mataifa kilitoa taarifa jana Jumatatu na kukaribisha hatua za karibuni katika mchakato wa uchaguzi, ikiwemo ya Rais Joseph Kabila kutimiza ahadi yake ya kuheshimu katiba ya Congo kwa kutowania muhula wa tatu.  Wanachama wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa waliwahimiza washiriki wote kuhakikisha kuwa uchaguzi huo unafanyika katika mazingira ya uwazi, uaminifu na ushirikishwaji. Walisema kuheshimu haki za msingi na kusimamia kalenda ya uchaguzi ni mambo muhimu yatakayohakikisha uchaguzi wa a

Wabunge mbaroni kwa kushambulia gari la Rais

Image
Baadhi ya wabunge nchini Uganda wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kushambulia gari la Rais Yoweri Museveni kwenye uchaguzi mdogo eneo la Arua. Jeshi la polisi limeeleza kuwa linawashikilia watu 30 ikiwa ni pamoja na wabunge kutoka Kampala, Njiri na maeneo mengine ambao wanadaiwa kuhusika kwenye tukio hilo lililotokea jana na kusababisha kifo cha mlinzi wa mbunge aliyeuawa kwa kufyatuliwa risasi na askari polisi. “Hadi tunavyoongea hivi sasa hao wote tunawashikilia kwenye selo zetu, hatujui kama kati ya hao kuna waandishi wa habari au la. Tukianza kuwachambua tutafahamu ukweli wa jambo hili,” msemaji wa polisi wa eneo la West Nile, Josephine Angucia aliiambia NTV. Aliongeza kuwa watu hao waliokamatwa walikuwa kwenye kundi ambalo lilirusha mawe kupiga gari linalotangulia msafara wa Rais. Akizungumzia kifo cha mlinzi wa mbunge, alisema kuwa kifo chake kilitokana na risasi iliyopigwa bila kumkusudia. Rais Museveni alikuwa katika eneo hilo akimpigia kamp

Qwisa wa Shilawadu Awatolea Povu Wanayemshambulia Mpenzi Wake ''Chambeni Weeeee Siachani Nae''

Image
Mtangazaji wa Clouds Media aliyejipatia umaarufu wake kupitia kipindi cha SHILAWADU akiwa na mtangazaji mwenzake Soud Brown, baada ya kutangaza rasmi kuuaga ukapera baada ya wikiend hii kumvisha pete mpenzi wake na kujianda kwa ajili ya ndoa hivi karibuni. huko mtandaoni pamekuwa hapashikiki katika page zote za udaku kuanza kumchambua mwanamke wake kila kona kama vile yeye na mtangazaji mwenzake Soudy wanavyokuwa wakifanya katika kipindi chake cha shilawadu. Kufuatia kitendo hicho Qwisa ameonekana kuchukizwa na kitendo hicho na kuamua kuwatolea povu wanaomchambua mpenzi wake na kusema kua wao wametoka mbali na anampenda hivyo hivyo na ubaya wake kwakuwa anajua utamu wa mkewe. Kupitia ukrasa wake wa instagramu aliandika hivi ''Mama Kamanda akipakwa Wanja wake almaarufu.. Nagaramia, Nampenda Hivyo hivyo na Wanja wake na sura yake na umbo lake na sugu zake.. Chambeni weeeee #SiachaniNae''

Daimond, Rich Mavoko Wakutana Uso kwa Uso Basata

Image
MKURUGENZI wa Kampuni ya WCB, ambaye pia ni staa wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul  ‘Diaomond Platnumz’ na Mameneja wake wawili, Hamis Taletale ‘Babu Tale’ na Sallam Sharraf wametinga katika ofisi za Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kuitikia wito wa baraza hilo kuhusu malalamiko yaliyowasilishwa na mwanamuziki Rich Mavoko aliyedai kuwa mkataba wake na WCB ni wa kinyonyaji. Akizungumzia hilo mmoja wa meneja wa Diamond, Sallam, amesema waliitwa na Basata na sasa wapo katika mazungumzo ya kutatua jambo hilo na kufikia mwafaka. Sallam amesema ni vyema watu wakasubiria yatakayoamuliwa huko, ambapo wanaamini Basata itauambia umma nini kilichoafikiwa badala ya wao  kuwa wasemaji. 

Hamisa Mobetto na Zamaradi Hapatoshi Watibuana Kisa Hiki Hapa

Image
Mwanamitindo Hamissa Mobetto ameonekana na mkosi kwa kila jambo baada ya kutupiwa lawama nzito na Mwanadada Mwanaharakati Zamaradi mketema za kusambaza habari za uongo kuhusu nguo aliyoivaa siku ya 40 ya mtoto wake pamoja na  kuwachangisha pesa watu kwaajili ya kukamilisha shughuli yake huku Zama akidai kuwa sherehe nzima kula, kunywa na kila kitu ameigharamia yeye mwenyewe. Kupitia akaunti yake ya instagram Zamaradi ameandika waraka mzito na majadiriano ya hamisa mobetto kuhusiano na walichojadiliana kuhusu mshono ambao alishona mwanamama huyo ambapo inadaiwa baada ya kupewa mshono huo akaenda kushona sehemu nyingine. ''tukija kwenye nguo naambiwa nilipewa mshono na mtu nikaenda kushona kwingine!! Funny wallah!! Na nimeshangazwa sana na uongo mkubwa wa namna hii, Nimeattach ushahidi hapo juu kuwa MIMI NDIO NIMETUMA HUO MSHONO KWAKE NA SIO YEYE, hakuwa anaufahamu kabla, hata kama kuna roho mbaya mnanipa sio ya kiasi hiko, sasa hapo nani mbaya!? Kutokana na kupishana na muda

Katika Harakati za kusaka habari hata vijijini tupo

Image
Emungu bariki kazi ya blog yangu kwakukaza moyo kufikia malengo ya leo kesho nahata milele na milele daima hakuna kukata tamaa

Kama wazazi wanagombana bila kuwaza Mtoto atalelewa katika Maisha gani kwakukopi alichokiona kwa Baba na Mama ni shida

Image
Kijana aliyeachiwa Mtoto na Mkewe kwakupenda michepuko huyu jamaa anajuta sana kwani alimpenda mkewe ila hakuwa na jinsi mke kajali mchepuko kuliko mmewe wa ndoa