Posts

Showing posts from March 16, 2020

Breaking News: Tanzania Yathibitisha Kuwa na Mgonjwa Mmoja wa CORONA..Aliingia Nchini Jana Kupitia Uwanja wa Ndege KIA

Image
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema mtanzania mmoja ambaye aliingia nchini Machi 15 kupitia uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro akitokea Ubelgiji amethibitika kuwa na virusi vya Corona. Ummy amesema ni mwanamke mwenye miaka 46.