Posts

Showing posts from August 8, 2020

Picha za IRENE Uwoya Akiwa na Magongo Utata Mtupu.....Je Kaumia Kweli Au Kiki?

Image
Irene uwoya azidi kuzua utata Sanaa kutokana na picha hizi akiwa na Magongo.. Bado haijafahamika kama kavunjika au ni kiki ya movie NancyTheDreamtz

Wazazi na Jamii, Tusiwanyang'anye Watoto Utoto Wao

Image
Habarini…. Katika hatua za ukuaji wa binadamu, utoto ni hatua ya mwanzo kabisa na ya muhimu katika kipindi cha uhai wa binadamu. Katika utoto wa binadamu ndipo inapojengwa misingi ya namna gani mtu huyo atakuja kuwa akiwa kijana, mtu mzima na hata uzeeni. Japokuwa ni lazima tukiri kuwa katika kila hatua ya ukuaji wa mwanadamu kuna vitu ambavyo vinaweza kuathiri mustakabali wa mtu husika lakini hii haiondoi ukweli wa kuwa utoto ndiyo hatua ya msingi kabisa na yenye nguvu kubwa katika maisha yanayobaki kwa mwanadamu. Katika umri wa utoto ndipo picha halisi ya maisha ya mwanadamu huonekana na ndicho kipindi mwanadamu huwa na fikra zisizongwazongwa na makuu ya dunia. Ni kipindi ambacho binadamu huishi katika amnani yakweli, upendo wa kweli n.k. Kwa kipindi kirefu sana kundi hili la watoto limekuwa likipitiwa na changamoto nyingi ambazo baadaye huja kuwa na madhara makubwa kwa wahusika wenyewe na kwa jamii iliyowazunguka. Madhara haya yanatokana na jamii au wazazi kufanya vitu vya namna Ful...

NDOA imevunjika? BEN POL na ARNELISA wafutiana PICHA zote, Na kila mmoja kamu-unfollow mwenzie

Image
NDOA imevunjika? BEN POL na ARNELISA wafutiana PICHA zote, Na kila mmoja kamu-unfollow mwenzie VIDEO: NancyTheDreamtz

Breaking News: Bernard Morrison Ajiunga Rasmi Simba

Image
Rasmi mshambuliaji raia wa Ghana Benard Morrison amejiunga na wekundu wa msimbazi Simba SC kutokea Yanga NancyTheDreamtz

Sinto Fahamu Yajitokeza Mbwana Samatta Kutocheza Mechi ya Leo Dhidi ya Ali Kiba...Samatta Afunguka

Image
Reposted from @samagoal77  -  Ni kwa masikitiko makubwa ningependa kutangaza kuwa sitaweza kushiriki katika mchezo wa leo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, kama mmoja wa wahasisi wa taasisi hii ya samakiba ni jambo ambalo limeniumiza sana kutokucheza mchezo wa nifuate season 3, nimejaribu kila aina ya njia ili kuweza kushiriki lakini imeshindikana kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, nichukue nafasi hii kuwaomba radhi mashabiki wote watakaoudhuria mchezo wa leo, mashabiki wa team samatta, wachezaji na kwa ukubwa kabisa wadhamini ambao wamejitolea kwa hali na mali kufanikisha mchezo huu. Naomba mnielewe na naomba muende kusapoti mechi hii kwa moyo wa mapenzi yote kwa wale watakaosaidiwa na taasisi hii. Asanteni.  NancyTheDreamtz

KAMA Hujui..Hii Ndiyo Hatari ya Kiafya Inayopatikana Kutokana na Sumu Iliyomo Katika Betri za Simu..!!

Image
Pamoja na kwamba simu zimeleta maendeleo makubwa katika teknolojia ya Mawasiliano duniani lakini betri zinazotumika katika simu hizi hasa katika simu aina ya smartphone zimeonekana kuwa na sumu kali inayoweza kudhuru afya ya binadamu.  Katika tafiti mpya zilizofanyika hivi karibuni imegundulika kuwa zaidi ya gesi 100 zinazoweza kusababisha kifo hutolewa na betri zinazopatikana miongoni mwa mabilioni ya vifaa vinavyotumiwa na raia wengi duniani zikiwemo simu aina ya smartphone na vipatakilishi. Utafiti huo ulibaini kuwa betri za lithium zinazotumika sana katika simu aina ya smartphone hutoa aina 100 za gesi zenye sumu kali ikiwemo gesi ya kaboni monoksaidi, ambayo inaweza kusababisha kujikuna katika ngozi, macho na pua pamoja na kuathiri mazingira. Watafiti kutoka Taasisi ya Ulinzi ya NBC nchini Marekani pamoja na Chuo Kikuu cha Tsinghua nchini China wamesema kuwa watu wengi huenda hawajui hatari ya betri kupata moto, kuharibika ama kutumia chaji isiofaa katika vifaa hivyo, jarida l...

Yanga yatoa tamko zito baada ya Morrison kujiuna na Simba

Image
Yanga yatoa tamko zito baada ya Morrison kujiuna na Simba NancyTheDreamtz

Msanii wabongo movie Duma afunga ndoa

Image
Mkali wa Filamu Bongo, Daud Michael maarufu 'Duma' amefunga ndoa Ijumaa hii na mpenzi wake anaetajwa kuwa wa muda mrefu ambaye sasa amekuwa mkewe rasmi. Duma na mkewe wamefunga ndoa hiyo kwa dini ya kiislamu na kuhudhuriwa na watu wake wa karibu. NancyTheDreamtz

TAASISI ISIYO YAKISERIKALI VISIWANI ZANZIBAR YAWAKILISHA MAONYESHO YA NANENANE 2020

Image
Taasisi isiyo ya Kiserikali Zanzibar inayojulikana kwa jina la UMAWEZA imeendelea na kilele cha Sherehe za Nanenane Visiwani Zanzibar kama kawaida Taasisi hiyo inaadhimia kuboresha zaidi shughuli za Kijamii Visiwani Zanzibar ikiwemo suala mama la Elimu ya Sayansi na Tekinolojia hivyo basi watendaji wake imara na waliotukuka kiutendaji wameonekana kuendelea kuchapa kazi katika maonyesho kama alama au nembo Visiwani Zanzibar . Imejikita zaidi katika kumfanya Mwanamke athaminike katika Taaluma ambayo ya Sayansi na Tekinolojia Visiwani humo pamoja na Kumuinua kijana juu ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya Visiwani Zanzibar pamoja na jitihada za Kumtua mama Ndoo kichwani Hapo chini tunaonyeshwa matukio ya picha mbalimbali za Maonyesho ya Nanenane Visiwani Zanzibar Mwaka 2020 NancyTheDreamtz