MAMA DOMINIC MTAULA MUNGU AKUEPUSHE NA ADHABU YA KABURI KAMWE HAITAFUTIKA ALAMA YAKO DUNIANI 2020
Nimiezi sasa Mama/Shangazi/Dada/Wifi/Bibi yetu Mpendwa toka umetutoka ukiwa umetuachia ukiwa wanao Elizabeth Mtaula,Cletus Mtaula ,Christina Mtaula pamoja na Mme wako Kipenzi Mzee Dominick Mtaula umewaachia pengo kubwa lisilo zibika na endapo kama kifo kingekuwa hakina lazima basi Jamii ya Bibi Jojina Mahichi isingekubaliana na Kuondoka kwako leo haina budi kuandika Makala hii kwako ili iweze kuwa alama ya upendo kwako tunakuombea nakukutakia punziko la milele daima Kama yeye alituumba kwaudongo basi haina budi kukubali matendo yake Mwanga wa Milele ukuangazie eebwana. Ni vigumu sana kupata Mlezi wa watu wengi katika Familia ya Mzee Dominick Mtaula kupitia Makala hii napenda kutoa kumbukumbu yangu kwako ilikuwa miaka ya 2000 ambapo Nyumbani kwako kulikuwa na utitiri wa watu hukuchoka kuishi nao kwa shida na raha mpaka wengi wao wamefanikiwa kimaisha nikama misemo ya wahenga isemavyo tenda wema nenda zako daima wewe ulikuwa nguzo imara kwa upande wa mumewako pamoja na upande wa Baba yak...