Posts

Showing posts from August 30, 2018

Jacqueline Wolper Atamani Kutoka Kimapenzi na Rais

Image
NancyTheDreamtz Msanii wa filamu za Bongo Movie na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amefunguka na kudai anatamani sana kama angetoa Penzi lake kwa Raisi. Wolper amedai anaona ni bora kama atakuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi kwa sasa statute Penzi pa Raisi yoyote Afrika kwani atakuwa salama zaidi kuliko kufaidi Penzi na wadananda wengine. Kwenye mahojiano na Global Publishers, Wolper alisema mara nyingi amekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume ambao mwishoni wanamsaliti jambo ambalo halipendi na linamkera, lakini anaamini akimpa moyo wake wa upendo Rais yeyote Afrika anaona atakuwa salama. Unajua ndoto yangu mimi ningependa kutoa penzi langu kwa Rais maana najua kabisa, kwanza atakuwa ananiheshimu na itakuwa ni ngumu sana kunitenda kama wafanyavyo wengine na hapo nitatulia kabisa wala sitakumbuka wanaume wazugaji“. Wolper amekuwa muwazi kuhusu maumivu anayokutana nayo Kwenye  mapenzi yake ambapo uhusiano wake na staa wa Bongo fleva Harmonize uliisha baada ya kum...

Breaking News: Magufuli Amuwashia Moto Makonda Sakata la Makondena Amtaka Alipe Kodi

Image
NancyTheDreamtz Rais John Magufuli ashangazwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingiza makontena 20 nchini yenye samani mbalimbali na kukataa kutalipia kodi akidai kwamba ni msaada kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu kwa mkoa huo. Magufuliamesema hayo leo wakati akizungumza na watumishi wa serikali wilayani chato mkoani Geita ambako yuko mapumzikoni. “Umezungumza na wafanyabiashara huko, umeingiza makontena yako eti yana fenicha za walimu hata shule zenyewe hazitajwi, nani amekwambia walimu wanahitaji masofa?” amesema Rais Magufuli.