Posts

Showing posts from October 23, 2018

Lema atinga Polisi na Gari ya Mwaka 1952 kabla ya Uhuru wa Tanzania

Image
NancyTheDreamtz

Cheka na vichekesho vya Hamorapa| Kafukuzwa na Meneja wake?/Kukutana na JPM

Image
NancyTheDreamtz

Vichekesho vya bongo star search

Image
NancyTheDreamtz

Professor Jay Feat Harmonize - Yatapita (Official Music Video)

Image
NancyTheDreamtz

Yemi Alade - Oh My Gosh (Official Video)

Image
NancyTheDreamtz

Morgan Heritage - Africa x Jamaica feat. Diamond Platnumz & Stonebwoy (O...

Image
NancyTheDreamtz

Leopard Vs Warthog: The Bloody Struggle (Full Sighting)

Image
NancyTheDreamtz

DIAMOND, NANDY & RAYVANNY Washinda TUZO Marekani, ALIKIBA , OMMY DIMPOZ,...

Image
NancyTheDreamtz

Wakulima Wagoma Mbele ya Naibu Waziri kuuza korosho......Wanunuzi Walikuwa Wanatoa 2700 kwa Kilo, Mwaka Jana Kilo Ilikuwa 4000

Image
NancyTheDreamtz Mnada  wa kuuza korosho wilayani Newala na Tandahimba, Mkoa wa Mtwara umevunjika. Ulivunjika jana mbele ya Naibu Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji, Omary Mgumba baada ya wakulima kukataa kuuza korosho ghafi katika mnada wa wazi wa kwanza uliofanyika Kijiji cha Makukwe, Wilaya ya Newala. Wakati wa mnada huo kulikuwa na kampuni 15 zilizotuma zabuni za kununua korosho ghafi kwa bei ya juu ya Sh 2,717 kwa kilo moja na bei ya chini ikiwa ni Sh 1,711. Wakati wanunuzi hao wakitaka kununua kwa bei hiyo, msimu uliopita katika mnada wa kwanza, kilo moja ya korosho ilinunuliwa kwa Sh 3,850. Pamoja na hali hiyo, ununuzi wa korosho mwaka huu wanunuzi wanatakiwa kufika wenyewe katika minada wakiwa na barua za zabuni tofauti na misimu iliyopita ambayo walikuwa wakipeleka barua katika vyama vikuu na kusubiri minada. Akizungumza baada ya wakulima kukataa kuuza korosho zao, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gellasius Byakanwa, aliwapongeza na kusema wamefanya uamuzi sahi...

Mume wa Bi Sandra Akwaa Skendo Nzito

Image
NancyTheDreamtz MUME wa Sanura Kassim ‘Sandra’ ambaye ni mama wa mwanamuziki maarufu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Maisala Shante ‘Anko’ amekwaa skendo ambayo huenda ikatikisa ndoa yake.  Skendo hiyo inamganda kufuatia gazeti hili kunasa sms tata alizokuwa akizituma kwa mama mmoja mke wa mtu, (jina tunalihifadhi kwa sasa) huku ikishindwa kufahamika ukaribu wao huo unakujaje wakati wote wana watu wao. KUVUJA KWA SMS HIZO Awali chanzo chetu cha kuaminika kilitutonya kuwa, kina meseji zinazomuonesha Anko akichati na mwanamke ambaye ni mke wa mtu ila kikaomba hifadhi ya jina lake kuepuka shari. “Usije ukaniuliza nimezipatapataje na sitaki mnitaje ila nina meseji za yule mume wa mama Diamond akimtumia mke wa mtu,” alidai sosi huyo. Risasi: Wewe umezipatapataje kwani? Sosi: Kuna shosti wangu anajuana na huyo mke wa mtu, sasa sijui kazichukua vipi kwenye simu yake. Mimi nimeona ni stori, au unasemaje? Risasi: Ni stori ndiyo, meseji zenyewe zikoje? Sosi: Wewe niambie mtanilipaj...

Irene Ataka Kulipwa na Dogo Janja

Image
NancyTheDreamtz Mwanadada Iren Uwoya amefunguka na kusema kuwa ikitokea msanii Dogo Janja akitaka kufanya nae kazi ya kutaka kutikea katika video yake yoyote basi  anaweza kufanya nae kazi hiyo endapo tu ataweza kulipa pesa ambayo  anataka yeye. Dogo Janja na iIrene ambao walikuwa mke na mume  lakini wametengana hivi karibuni  kutokana naskendo za mwanaume huyo kuchepuka na wema sepetu wamekuwa kama maadui kwa sasa huku kila mmoja akikaa kimya kutokuongelea mahusiano yao. Hata hivyo Irene anasema kuwa kikubwa kwake pesa tu ‘niko tayari kuwa video model katima video yoyote ya Dogo janja ilimradi tu  kamaatakuja na dau zuri la kueleweka, kwanini nishinde?” Irene anasisitiza kuwa kwa sasa kila kitu anachokifanya kinachoonekana katika mitandao kuhusu yeye kinasimamamiwa na uongozi wake na wala sio wanaume kama watu wanavyosema.

Waziri Mkuu: Ushirikiano Wa Taasisi Za Dini Na Serikali Ni Muhimu

Image
NancyTheDreamtz WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ushirikiano mzuri baina ya taasisi mbalimbali za dini nchini na Serikali ni jambo la muhimu katika kuboresha na kuimarisha amani. Ameyasema hayo jana (Jumatatu, Oktoba 22, 2018) alipowasili jijini Mwanza akiwa njiani kwenda mkoani Simiyu ambako leo  anatarajia kufungua maonesho ya wajasiriamali. Alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, Waziri Mkuu alipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella na viongozi mbalimbali wa mkoa huo wakiwemo wa Serikali na wa dini mbalimbali. Waziri Mkuu amesema Serikali inatambua mkakati wa viongozi wa dini wa kuunda kamati za amani nchini ambapo walianzia kwenye ngazi ya mkoa na sasa wamefikia katika kata. “Viongozi wa dini mnadhamana kubwa katika kulifanya  Taifa liendelee kudumisha amani, utulivu na mshikamano, hivyo ushirikiano wenu na   Serikali ni muhimu.” Alisema viongozi wa Serikali wakati wote wamekuwa tayari kufanyakazi na viongozi pamoja na taasisi mbalimbali z...

Ronaldo Aingia na Saa ya Mabilioni Old Trafford

Image
NancyTheDreamtz Nyota wa klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo ameingia na saa ya dhahabu katika mkutano na wanahabari kuelekea mchezo wa klabu bingwa Ulaya dhidi ya wenyeji Manchester United. Saa aliyoivaa Cristiano Ronaldo kwenye mkutano na wanahabari Saa hiyo inaelezwa kuwa imebuniwa na mbunifu, Francky Muller na kutengenezwa na kampuni ya Jacob&Co Carviar Tourbillon Range. Kwa mujibu wa ripoti, aina hiyo ya saa pia iliwahi kuvaliwa na msanii maarufu wa muziki wa Nigeria, Wizkid ambapo inadaiwa aliinunua kwa dola 1.2 milioni ambazo ni sawa na Sh 2.7 bilioni za kitanzania. Hilo ni toleo jipya la saa za kampuni hiyo, ambapo awali iliwahi kumtengenezea nyota huyo saa yenye thamani ya pauni 100,000 ambazo ni sawa na sh 297 milioni za kitanzania. Manchester United na Real Mdrid zinatarajia kukutana usiku wa leo katika mchezo wa hatua ya makundi ya klabu bingwa Ulaya huku Cristiano Ronaldo akirejea katika uwanja wa Old Trafford akiwa na klabu ya pili tofauti tangu alipoondoka mwaka...

Picha Za Irene Uwoya na Ommy Dimpoz Zazua Mazito

Image
NancyTheDreamtz Muigizaji wa Bongo movie na mjasiriamali Irene Uwoya amekuwa  anatrend sana Kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kuvunjika kwa ndoa yake na staa Bongo fleva Dogo Janja. Siku ya jana Uwoya amerudi Kwenye headlines kwa ajili ya picha zake alizopiga na msanii mwingine wa Bongo fleva Ommy Dimpoz. Ommy Dimpoz ambaye alikuwa mgonjwa kwa Miezi kadhaa baada ya kufunyiwa upasuaji wa koo nchini Afrika ya kusini. Siku ya jana wawil hao wamezua gumzo Kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana wakiwa pamoja baada ya kila mmoja kiposti picha hizo Kwenye kurasa zao za Instagram. Mashabiki wengi wa Uwoya walimtaka aanzishe Mahusiano na Ommy na kudai ndio anaendana naye kuliko hata Dogo Janja. Wawili hao hawajaweka wazi sababu ya kuonekna pamoja kama ni wako ktika harakati za kuleta project ya pamoja au ni Mahusiano.

Nyimbo ya 'Katika' ya Navy Kenzo Yazidi Kukimbiza Chat BBC Radio

Image
NancyTheDreamtz Wimbo wa katika ulioimbwa na navy kenzo wakimshirikisha Diamond Platinumz unaziid kupasua anga na kufanya vizuri hadi nje ya nchi katika vituo mbalimbali vya radio na televisheni. Wimbo huo uliotoka wiki chache zilizopita aumeweza kufikisha views zaidi ya million 4 ndani y siku hizo chache ikiwa hiyo ni moja ya mafanikio makubwa ya muziki ndani na nje. Hata hivyo katika Radio kubwa duniani inayotangaza habari  mataifa akubwa na yenye kuaminika zaidi BBC Radio wimbo huo umeweza kufika na kupanda chti siku hadi siku  na hata kufikia nafasi ya mwanzo katika radio hiyo. Hii ni moja ya mafanikio makubwa ya muziki wa tanzania kuwa sasa umekuwa ukifika mbali na kupendwa na watu wa nje . Hongera nyingi lwa kundi la navy kenzo na WCB kupitai bosi wao Diamond platinumz.

Maimartha Ampa Ushauri Wema Sepetu

Image
NancyTheDreamtz Mwanadada mshehrehesaji maarufu nchini Maimartha wa jess amefunguka na kumpa ushauri mzito Wema sepetu kwa kumwambia kuwa rangu ametoa tamko la kuwa na mume mtarajiwa watu wamekuwa wakimsema sana kiasi kwamba imekuwa kama hapo awali alipoanza mahusiano na  diamond platinumz. Maimartha anasema kuwa alipokuwa na Daimond watu walikuwa wakisema sana na kufikiaka hatua ya kumtukana na kumkosoa sana lakini sasa hivi kila mmoja amekuwa akiomba wawili hao kurudiana, hivyo kama wema atasikiliza maneno ya mashabiki basi hatoweza kufanikisha hata ndoa anayoitegemea. Lakini pia Maiamartha amemwambia Wema kuwa kama anatka kufanukisha  kila jambo basi asiwasikilize watu wanasema nini . Maimartha amemwaidi Wema kuwa kama atafunga ndoa na mwanaume huyo basi yeye atakuwa MC bure katika harusi yake na atatoa muziki wake bure kama zawadi yake kwa harusi yao.Maimartha aliandika wema huyo bwanako mpya nimekumbuka zamnani wakati unaanza kutoka na diamond, kila mtu alikuwa anakus...

Wema Awapa Pole Wanaomsema Vibaya Kuhusu Mume Wake Mtarajiwa

Image
NancyTheDreamtz Mwanadada Wema Sepetu ambae wiki iliyopita aliacha gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kumuweka wazi mwaaume ambae alijulikana kwa jina la Patrick christopher na kusema kuwa huyo ndio mume wake mtarajiwa. Baada ya kuweka picha hizo wakwa faragha na mume wake huyo , watu walianza kuongea maneno mengi katika mitandao huku baadhi ya mahasimu wake wakijitahidi kutafuta mabaya ya wema na hata ya mwanaume huyo na kuyaweka hadharani. Hata hivyo Wema haonekani kujali maneno yoyoote anayosema kuhusu mwanaume huyo na amesema kuwa hata kama wataungana dunia nzima kwake ni kazi bure tu hivyo waache kuongea maana hakuna kinachosaidia . Akiongea na waandishi wa habari Wema anasema “yaani watu wametokwa na povu kama lote kisa mimi kumunyesha mume wangu tu, sasa hata wakiungana dunia nzima kunisema kama nimeshampenda watanibadilisha vipi” Mwanaume huyo amekuwa akikoselewa sana na hata kuonyeshwa baadhi ya vitu kama kuwa na familia na watoto alipwatelekeza, lakini pia inasemekan...

Lazaro Nyalandu Arudi Kwenye Siasa Baada ya Kukaa Benchi Mwaka Mzima

Image
NancyTheDreamtz Baada ya mwaka mmoja wa likizo kwenye siasa LazaroNyalandu amerudi kusaidia kujenga chama ( CHADEMA ) KUMBUKA. Lazaro aliacha Ubunge na nyadhifa zote ndani ya CCM Baada tu ya tukio laTundu Lissu Kupigwa Risasi.

Winnie Harllow na Wiz Khalifa Waangukia Katika Penzi zito

Image
NancyTheDreamtz Rapper huyo amesema supermodel huyo si tu kuwa ni mrembo bali ni mtu mwenye kujielewa pia. Amberose ambaye alikuwa mke wa rapper huyo amewapa kila la Kheri wawili hao Kwa upande mwingine Winnie Harllow ambaye ni raia wa Canada aliyeibuliwa na Tyra Banks kupitia American Next Supermodel career yake imezidi kuwa strong Kwa kuimarika siku hadi siku kwa makampuni makubwa ya kimataifa kumsainisha deals mbalimbali . Kwa mara ya kwanza pia mwaka huu 2018 Winnie amepata deal kubwa la kuwepo katika Victoria Secret Show ambapo ataungana na supermodels wenzie akiwemo Herieth Paul wa Tanzania. Winnie amesema alikuwa na hofu kubwa kwenye auditions ya Victoria Secret kwasababu ni deal la brand kubwa linalootwa na wengi katika industry.

Idris Sultan Afunguka Kuhusu Picha yake ya Utupu Iliyovuja...Amtaja Wema Sepetu

Image
NancyTheDreamtz Mcheshi maarufu ambaye pia ni mwigizaji nchini Tanzaia Idris Sultan amejitetea kufuatia picha ya utupu ambayo imekuwa ikisambaa mtandaoni. Kulingana na Idris watu wa karibu naye wanamfahamu ni mtu wa aina gani na hivyo kwa heshima yake hawezi kujidhalilisha kwa njia hiyo. Picha inayodaiwa kuwa ya mshindi huyo wa Big Brother Afrika (BBA), imekuwa ikisambaa sana mtandaoni huku mali yake akiinadisha kwa bei rahisi. Idris sasa anadai kuwa, ana imani aliyevujisha picha hiyo ni mchumba wake wa zamani Wema Sepetu na picha hiyo ni ya miaka miwili iliyopita. “Wanaonipenda wanajua mimi mtu wa aina gani, ndugu zangu wanajua mimi mtu wa aina gani, marafiki zangu, mchumba wangu ananifahamu vyema sana, mashabiki wangu wananijua sanaaa hadi wakati mwingine wanajua nini nitasema kabla sijasema. Kampuni zinazonidhamini zinafahamu mimi ni mtu wa aina gani. Hii ndio nguvu niliyo nayo, ni nguvu ya mapenzi,” aliandika kupitia Instagram. Idris anadai kuwa, watu wanaovujisha picha zake ...

Jose Morinho Amtafuta Mchawi wake ndani ya United, Adai Haiwezekani Siri yake Kuvuja Mitandaoni

Image
NancyTheDreamtz Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho ameanzisha uchunguzi ndani ya timu hiyo kufahamu aliyetoboa siri ya orodha ya kikosi chake ‘line-up’ alichokipanga kwaajili ya kuikabili Chelsea mchezo uliyomalizika kwa sare ya mabao 2 – 2 Jumamosi iliyopita. Mourinho alitoka kwenye hoteli waliyofikia na kwenda kutafuta ukweli juu ya aliyetoboa siri hiyo na kuposti kwenye mitandao ya kijamii kikosi chake cha wachezaji 11 alichokipanga. Mourinho na kikosi chake walipigwa picha wakati wakitoka kwenye kituo cha treni cha Stockport siku ya Ijumaa walipokuwa wakielekea kwenye hoteli ya Pestana kwaajili ya kuikabili Chelsea. Hata hivyo inaelezwa kuwa wachezaji na baadhi ya wafanyakazi pekee ndiyo waliyojua kikosi kitakachoanza siku hiyo dhidi ya Chelsea kabla ya kusambaa kwake kwenye mitandao. Hii ni mara ya pili kwa kikosi cha Manchester kuvuja kabla ya mechi iliwahi kutokea hata walipokwenda kuikabili West Ham mwezi uliyopita. United iliyokuwa na mwanzo mbaya katika dakika 45 ...

Lema Afunguka Mazito Baada ya Kuhojiwa na Polisi "Bado Nautafakari Muujiza wa Mo Dewji Kutekwa Colosseum na Kurudishwa Gymkhana"

Image
NancyTheDreamtz Mbunge wa Arusha Mjini na waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani Mh Godbless Lema amefunguka baada ya kuhojiwa na polisi na kusema kuwa amehojiwa kuhusiana na  tukio la kutekwa na kupotea  kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji. Lema amesema kuwa aliitwa kuisaidia polisi na kutoa maelezo kama aliyoyatoa siku alipokuwa akiongea na waandishi wa habari juu ya sakata hilo. "Nilitoa maelezo kama yale ambayo niliongea kwa waandishi wa habari ila nimelishauri kuwaacha huru watu kutoa maoni kwani mzalendo wa kweli ni yule ambaye anayeongea wakati mambo hayaendi sawa lakini si yule anayenyamaza mimi ni mzalendo wa kweli na nitaendelea kukosoa kama waziri wa mbambo ya ndani lakini kama Raia mzalendo wa hichi pale mambo kama haya yataendelea. Aliendelea kusema kuwa kwa namana alivyotekwa Mo na kurudishwa ni kitu cha kihistoria. "Mo Dewji alitekwa karibu na makamu ya Rais na alipatikana karibu na ikulu huu ni muujiza mkubwa na nitazidi kuutakafari muujiza huu na kama tajiri unate...

Wadau Watia Neno Baada ya Dogo Janja Kukutana na Jeniffer Kanumba...Wadai Ndo size yake.

Image
NancyTheDreamtz Baada ya kupost picha akiwa na Muigizaji wa filamu Jeniffer Kanumba.... Mashabiki wamemshauri DogoJanja Kuachana na wanawake magume gume wa Mjini...na Hizo ni Baadhi ya comments.

BASATA Wakanusha Kumuita na Kumhoji Wema Sepetu

Image
NancyTheDreamtz Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limekanusha taarifa ambazo zinazagaa mtandaoni kwamba wamemuita malkia wa filamu Tanzania, Wema Sepetu kutokana na kusambaza video mtandaoni akila denda na mwanaume aliyedai ni mpenzi wake mpya. Wiki iliyopita muigizaji huyo aliachia video hiyo na picha za mwananume huyo akidai ameshindwa kulizuia penzi lake hilo kwa mwanaume huyo. Baada ya kugaa kwa taarifa hizo, chombo kimoja cha habari kilizungumza na Afisa Habari Basata, Agness na kukanusha taarifa hizo huku akidai kama mwanadada huyo anaenda Basata ni kwa mambo yake binafsi sio kwamba aliitwa. “Sio kweli Wema ameitwa Basata, hata sisi tunasikia hizo habari na kuihusisha na mambo yake ya kwenye mitandao, sisi kama Basata atu-deal na maisha binafsi ya wasanii labda afanye tukio katika kazi ya sanaa ndio tunaweza kumuita,” alisema Agnes “Kama ni mambo ya mtandaoni TCRA ndio wenye mamlaka,” “Basata ni sehemu ya wasanii, ni wazazi wa wasanii, kama anakuja sisi tutampokea na kuzungumza ...

RC Makonda Atangaza Deal kwa Vijana Wenye Taaluma ya IT

Image
NancyTheDreamtz Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda anawaalika vijana wote wenye utaalamu wa Teknolojia yani IT kufika Ofisini kwake Tar 01/11/2018 Asubuhi kwaajili ya kuunda Mfumo wa kuratibu Uwajibikaji wa Watendaji wa Umma ilikuhakikisha kero na malalamiko ya wananchi yanashughulikiwa kwa uharaka. Mfumo huo utakuwa ukipokea malalamiko ya watendaji wasiowajibika kuanzia ngazi ya Mitaa, Kata, Wilaya, Mkoa na viongozi Wakuu akiwemo Mkuu wa mkoa,Katibu tawala Mkoa, Wakuu wa Wilaya,Wakurugenzi, Makatibu tawala wilaya na wakuu wa idara Watakuwa wakiona ni mtendaji gani asiewajibika kutatua kero za wananchi. RC Makonda amesema hataki kuona wananchi wanafika kwenye ofisi za umama na kuambia “Njoo kesho” kila siku pasipokujua kuwa wanatumia nauli na kupoteza muda. Mfumo utampa mwananchi uwezo wa kueleza malalamiko yake endapo amefika ofisi ya umma na watendaji kushindwa kushughulikia kero zake kwa uzembe.