Harmonize Afunguka Tetesi za Kuachana na MKE wake Mzungu Ajulikanaye Kama Sarah

Msanii Maarufu hapa Bongo na CEO wa KondeGang, Harmonize amefunguka kutokana na Skendo Zinazo Endelea kuwa yeye na Sarah wameachana Kutokana na Harmonize kuacha kumpost Sarah Kwenye Account yake ya Instagram Harmonize Amesema "UKWELI NI KWAMBA MIMI NA MKE WANGU SARAH HATUWEZI KUACHANA, KUHUSU KUMPOST INSTAGRAM TUMEAMUA TUPUNGUZE MAPENZI YA MTANDAONI"-Ameongea Harmonize.

NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele