Posts

Showing posts from August 17, 2018

This is how we do in computer Hardware and Software so Customers Follow Us inside of our work

Image
NancyTheDreamTz is the one Computer IT in Tanzania who can Help your computer Problems from A to Z and you will enjoy more about us such as:- Computer Software and Hardware Computer Networking Computer Graphics Computer Data Entry in system account packages  Cctv Camera Security Technician Webdesign and blogspot 7.Computer Application Control   Find us from any where Tanzania we can help you for any problem      -www.nancythedreamtz.blogspot.com      +255673050373 or nyandicheathur@yahoo.com     Facebook : wachakaraphaelarubudha Thanks   Your Computer IT Nancythedream.

Muziki wetu wa BongoFleva kwa sasa umekuwa kama Bubble Gum (Big G) unakula na kutema – Lamar

Image
Mwandaaji wa Mziki wa kizazi kipya kutoka hapa Tanzania ambaye kwa sasa anajishughulisha na vitu vingine nje na muziki kama vile kufungua kituo cha kuoshea magari (Carwash) pamoja na sehemu ya kupikia na kuuzia chakua (Restaurant)  Lamar,amefunguka na kusema kuwa muziki wa Bongo Flava kwa sasa hauna ladha. Lamar ameongea hayo katika mahojiano aliyoyafanya na kituo cha habari cha Clouds Fm na kuongea yote jinsi anavyouona muziki wa sasa na muziki wa kipindi cha nyuma kidogo Lamar amesema:- “Muziki wa sasa hivi uko Bubble Gum (Big G) unautafuna halafu unautema tofauti na muziki wa zamani akimaanisha kipindi cha nyuma ambao uko kimziki zaidi maana unaishi muda mrefu,hii ni kwasababu ya upangiliaji wa codes za muziki (akimaanisha mfumo) maana zamani walikuwa wacheza codes ambazo zinaishi muda mrefu tofauti na sasa hivi ambao hutumii codes bali watu wameurahisisha tu kwani umekuwa muziki wa kawaida tu” Lamar amefunguka hayo kwa hisia sana kwani muziki wetu ulipotoka

Mara ya Tatu Sasa Namwota Secretary wa Kazini Kwetu Nikifanya Nae Mapenzi

Image
Kaushauri ndugu zangu; usiku wa kuamkia leo ni siku ya tatu siyo mfululuzo naota nafanya mapenzi na secretary mmoja ambae yupo kazini kwetu ila sipo nae ofisi moja. Sijawahi kumtongoza, sina feelings zozote na yeye, wala sijawahi kufikiria kumtongoza. Hizo mara mbili nilivyomwota sikumwambia maana niliona kama ninaweza kujenga ukaribu ambao sijau-plan. Lakini mara hii ya tatu naona si vema nikae tu kimya maana siku hiz watu wana technic-know-how. Nitamweleza mbele za watu kuwa nimeota nimefanya nae mara tatu. Sina mazoea ya kuota kufanya mapenz ndotoni imetokea kwake tu ndo maana nimeona si kitu cha kawaida kwangu na pia bora angekuwa mtu hata nam-feel ningechukulia hivo. Naombeni Ushauri Kwa Wanaojua Mambo ya Ndoto

DALILI 7 Za Kuonyesha Anakucheat Na Mwingine..!!

Image
Katika mahusiano huwa kuna changamoto tofauti tofauti. Kwa kawaida ni muhali kupata mahusiano ambayo hayana patashuka moja au nyingine. Inajulikana ya kuwa mahusiano huwa kuna migogoro, kutoelewana, kunyamaziana na mbaya zaidi...vita. Anyway mambo kama haya huwezi kuyazuia kwa sababu wenyewe ndio wanayaita mapenzi. Utaskia mtu akilalamika kuwa amemiss kugombana ama kuteteshana na mpenzi wake, jambo ambalo huwa ni la kawaida. Ok. tukija katika mada yetu ni kuwa nataka nikuulize maswali yafuatayo. Je hivi karibuni umeona kama mpenzi wako amekuwa mtu tofauti na ilivyo kawaida? Je mpenzi wako imekuwa muda mrefu tangu mfanye mambo yenu ya kawaida ambayo mlikuwa mkifanya? Je unamshuku kama amepata mwingine? Kama majibu yako ni NDIO basi hili chapisho nimeliandika spesheli kwako na nataka umakinike kwa kusoma dalili zetu tulizoziandika na kama yote yanawiana na dhana yako basi ni wakati wa kumfungukia mpenzi wako na umwambie kweupe kuwa umechoshwa na tabia yake ya 'kut

Mpaka Mwanamke Anaamua Kuchepuka Ujue Kuna Shida kwa Mumewe

Image
Katika Utafiti wangu imegundua kuna tatizo kubwa katika mahusiano aidha ya kimapenzi au ya ndoa.Uaminifu umekuwa tatizo kubwa miongoni mwa jamii ya kizazi hiki! Kutoridhika imekuwa sehemu ya maisha ya sasa si kwa mwanaume au mwanamke kuchepuka ndiyo habari ya mujini kwa sasa hadi wale walioaminika kuwa viongozi wa dini maana hakuna mwenye kinga ya kutotenda dhambi hivyo imekuwa kujitwalia kadri tupendavyo nani atakuwa kiini cha mabadiliko katika wimbi hili linaoelekea kupoteza wengi. Tatizo ni nini hasa kwa uzoefu wangu wa kuishi katika dunia hii na katika ndoa kwa muongo zaidi ya mmoja nimegundua mwanamke anaweza akatulizwa (walioko ndoani) tu endapo mume atakidhi mahitaji yote ya kiuchumi,zaidi kuwa na muda wa kutosha na mkewe bila kusahau kusaidiana kufikishana katika kilele cha maraha ambacho.Mungu aliona ni vema atupe wanadamu kama kitulizo ktk maisha yetu haya yenye adha nyingi. Sasa cha ajabu kuna baadhi ya wanaume wamekuwa busy wakiamini magari,pesa na faha

Lava Lava Akumbwa na Skendo ya Kutelekeza Ujauzito...Queen Darling Ahaidi Kumlea

Image
Msanii wa muziki kutoka lebo ya WCB Wasafi, Queen Darleen amedai kuwa yuko tayari kulea mtoto atakayezaliwa na 'Flaviana Lutakwa', mwanamke aliyedai kuwa ana Ujauzito wa msanii @iamlavalava. Queen amejitokeza na kuonesha utayari wa hilo kwa kuandika kwenye uwanja wa Maoni wa #EXCLUSIVE Interview iliyofanyika #DizzimOnline juu ya malalamiko ya mwanamke huyo, baada ya kusikika akidai kuwa amebeba Ujauzito na anakumbana na Changamoto ya kupotezewa na Msanii hiyo.

Kikwete amtembelea tena Kingwangalla, Sasa kuruhusiwa muda wowote

Image
RAIS Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete amemtembelea na kumjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika wodi maalum kitengo cha Taasisi ya Mifupa MOI, hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa mara nyingine tena. Hii inakuwa ni mara ya tatu kwa Kikwete kumtembelea Dk Kigwangalla ambapo awali alimtembelea Agosti 8, 2018 alipokuwa amelazwa Wodi ya Mwaisela akipatiwa Matibabu ya awali na juzi Agosti 15, 2018 katika wodi ya Taasisi ya Mifupa MOI. Akiwa hospitaini hapo mapema jana, Kikwete ameweza kumjulia hali na kubadilishana nae mawazo mbalimbali huku akimtakia unafuu aendelee na majukumu yake ya kila siku na akimpongeza kwa shughuli zake anazozifanya katika kuinua sekta ya Utalii pamoja na kulinda rasilimali za Maliasili. “Nikutakie kheri. Nashukuru kwa kukuta unaendelea vizuri sasa na nilikuja ukiwa upo unaongea ukiwa umelala kitandani na kwa sasa nimekuja tena umeweza kuimarika na hata kutembea na kukaa kama hivi honger

Papa Francis alaani unyanyasaji wa kingono uliofanywa na mapadre

Image
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis amesema yuko katika upande wa wahanga wa zaidi ya mapadre 300 waliofanya unyama wa unyanyasaji  mkubwa kingono nchini Marekani wanaoshutumiwa kuwafanyia unyanyasaji zaidi ya watoto 1000. Unyama  huo ulifanyika  katika  kipindi cha  miongo saba, yameeleza  makao  makuu  ya kanisa  Katoliki mjini  Vatican. Wahanga  watambue kuwa  papa  yuko  upande wao, imesema  taarifa  ya  Vatican baada  ya  ripoti mbaya ya jopo la mahakama nchini  Marekani  kuchapishwa  siku  ya  Jumanne inayoelezea hatua za  kuficha madhila hayo zilizofanywa  na  kanisa Katoliki. "Kuna  maneno  mawili yanayoweza  kueleza  hisia zinazokabili uhalifu  huu  wa  kutisha, aibu  na  masikitiko. Papa anachukulia  kwa dhati  kazi  ya  jopo  la  mahakama pamoja  na  ripoti iliyotoa. Papa analaani  bila kiasi unyanyasaji kingono watoto wadogo. Unyanyasaji ulioelezwa  katika  ripoti  ni  uhalifu  na kiroho ni wa kukemewa. Vitendo  hivyo  ni usaliti  wa  imani  am

CHADEMA watangaza wagombea wao wa ubunge katika majimbo matatu yaliyoachwa wazi

CHADEMA wamefanya uteuzi wa majina matatu ya wagombea wao wa ubunge katika majimbo matatu yaliyoachwa wazi kutokana na hama hama ya vyama inayoendelea nchini. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Kikao Maalum cha Kamati Kuu iliyoketi kwa siku mbili, Agosti 15-16, mwaka huu, jijini Dar es Salaam baada ya kupokea na kujadili kwa kina taarifa kuhusu chaguzi za marudio za ubunge na udiwani na hali ya kisiasa nchini; Kimefikia maazimio mbalimbali ikiwa ni pamoja na kufanya uteuzi wa wagombea ubunge katika majimbo ya Monduli, Korogwe na Ukonga, watakaogombea kupitia CHADEMA kwenye uchaguzi wa marudio ambao kampeni zake zitaanza Agosti 24-Septemba 15 na siku ya kupiga kura ni Jumapili Septemba 16, mwaka huu. Uteuzi huo ni kama ifuatavyo; 1. Jimbo la Ukonga; Asia Daudi Msangi 2. Jimbo la Korogwe; Amina Ally Saguti 3. Jimbo la Monduli; Yonas Masiaya Laiser Kamati Kuu ya Chama imefanya uteuzi huo wa wagombea ubunge kwa mamlaka iliyonayo kwa mujibu wa Katiba ya Ch

CHADEMA watangaza wagombea wao wa ubunge katika majimbo matatu yaliyoachwa wazi

CHADEMA wamefanya uteuzi wa majina matatu ya wagombea wao wa ubunge katika majimbo matatu yaliyoachwa wazi kutokana na hama hama ya vyama inayoendelea nchini. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Kikao Maalum cha Kamati Kuu iliyoketi kwa siku mbili, Agosti 15-16, mwaka huu, jijini Dar es Salaam baada ya kupokea na kujadili kwa kina taarifa kuhusu chaguzi za marudio za ubunge na udiwani na hali ya kisiasa nchini; Kimefikia maazimio mbalimbali ikiwa ni pamoja na kufanya uteuzi wa wagombea ubunge katika majimbo ya Monduli, Korogwe na Ukonga, watakaogombea kupitia CHADEMA kwenye uchaguzi wa marudio ambao kampeni zake zitaanza Agosti 24-Septemba 15 na siku ya kupiga kura ni Jumapili Septemba 16, mwaka huu. Uteuzi huo ni kama ifuatavyo; 1. Jimbo la Ukonga; Asia Daudi Msangi 2. Jimbo la Korogwe; Amina Ally Saguti 3. Jimbo la Monduli; Yonas Masiaya Laiser Kamati Kuu ya Chama imefanya uteuzi huo wa wagombea ubunge kwa mamlaka iliyonayo kwa mujibu wa Katiba ya Ch

Diamond ajibu ishu ya kuvaa kikuku ‘wanavaa wahuni waliotoroka jela, mtu hawezi kunipangia kuvaa’

Image
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kwa mara ya kwanza amejibu sakata la kuvaa cheni za miguuni almaarufu kama Kikuku ambapo amewasanua watu kuwa kitendo hicho kinatafsiri mbali mbali kulingana na nchi husika. Diamond kupitia Wasafi TV amesema kuwa kwa Marekani au nchini nyingine mtu kuvaa cheni mguuni anaonekana kama shujaa ambaye ametoroka jela. Pia Diamond amedai kuwa hakuna mtu ambaye anaweza kumbadilisha kwenye mavazi kwa sababu anavaa kile anachokitaka na kama atamfuatilia ataumia tu kwani fasheni kila mtu ana fasheni yake na tayari ana watoto watatu na shughuli yake watu wanamjua. Related Articles