Posts

Showing posts from February 19, 2020

Msanii huyu wa Marekani amuomba Diamond amtumie wimbo wake na Tanasha “Nitumie sasa hivi” – Video

Image
NancyTheDreamtz Katika ngoma mpya iliyotolewa na Diamond pamoja na tanansha Donna imezua ngumzo baada ya msanii mkubwa kutoka Marekani kumuomba diamond amtumie wimbo ule, Kupitia ukurasa wa Diamond wa Instagrama msanii huyo ambaye ni Swiz beatz alituma meseji na kusema Send me ASP (as soon as possible) huku Diamond akimjibu one second. Huenda msanii huyo mkubwa anataka kufanya rimex ya wimbo huo.

Rapa wa Marekani Pop Smoke auwawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake (Video)

NancyTheDreamtz Rapa chipukizi nchini Marekani Pop Smoke ameripotiwa kuuwawa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake mjini Hollywood Hills. Pop Smoke amewahi kufanya kazi na Nicki Minaj pamoja na Travis Scott, na alikuwa akipewa nafasi yakufanya vizuri zaidi katika muziki wake. Video hapo juu inauonyesha mwili wa msanii Pop Smoke akibebwa kwenye machela baada yakupigwa risasi nyumbani kwake ambapo mwili wake umehifadhiwa katika hospital ya Cedars-Sinai Medical Center mjini West Hollywood.

Mbwana Misosi avurugwa: Unanivimbia wewe nani? mimi staa kabla yako, kama wewe sio shabiki yangu basi demu wako shabiki yangu (Video)

Image
NancyTheDreamtz Msanii wa muziki Bwana Misosi ambaye aliwahi kufanya vizuri na ngoma kama Mabinti Wakitanga, Nitoke Vipi na nyingine nyingi amedai hakuna msanii mkubwa na mdogo kwenye tasnia ya muziki nchini Tanzania. Mkongwe huyo amedai amechukizwa na baadhi ya wasanii wapya ambao kwa sasa wanadaiwa kufanya vizuri kwa madai wana wavimbia wasanii wenzao. Misosi amedai yeye amepitia changamoto ya namna hiyo kwa mmoja kati ya wasanii hao kitu ambacho kimemuuza sana.

Kwa Nini Wanawake wa Kiislamu Hawautaki Tena Ukewenza?

Image
NancyTheDreamtz Ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle.  Lakini katika miaka ya hivi karibuni wanawake wa kiislamu wamekuwa hawataki kuwa mke wa pili, watatu ama hata wa nne. Pia hata yule mwanamke ambae tayari yupo kwenye ndoa akisikia kuwa mume wake ana plan ya kuoa mke wa pili nakuambia nyumbani hapatakalika visa vinaanza kwa kwenda mbele. HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA  UDAKU SPECIAL  >> BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD   APP YA UDAKU SPECIAL Swali langu ni kwamba, je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?

Bongo Zozo atangazwa kuwa balozi wa Lipuli FC

Image
NancyTheDreamtz Uongozi wa Timu ya Lipuli FC ya Iringa imemtangaza shabiki na mhamasishaji wa Taifa Stars Nick Reynolds maarufu kama Bongo Zozo kuwa Balozi wake kwa lengo la kuitangaza timu ya Lipuli FC pamoja na kusaidia wachezaji wake kucheza Kimataifa

Nabii wa Corona’ Aomba Radhi, Waumini Wamlilia!

Image
NancyTheDreamtz Kiongozi wa Kanisa la Huduma ya Neno na Maombi lililopo Arumeru Mkoani Arusha, Moses Ibarahimu maarufu kama NabiiNamba Saba, ameomba radhi kwa Serikali na watu wote waliopata taharuki baada ya kutangaza kupitia mitandao ya kijamii kuwa amepewa maono ya kutengeneza dawa inayotibu homa ya mafua unaosabaishwa na virusi vya Corona.   Mtumishi huyo alikamatwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha na kuhojiwa kwa muda wa saa tisa kwa kosa la kutoa taarifa iliyozua taharuki kwenye jamii ambapo baadaye aliachiliwa kwa dhamana huku Jeshi hilo likiendelea na uchunguzi dhidi yake.

Jacqueline Wolper Atuhumiwa Kuiba Mwanaume wa mtu

Image
NancyTheDreamtz Mtanzania anayetoka na mzungu aliyempita miaka 32 Azzy Super amesema msanii Jacqueline Wolper alimuibia mwanaume wake wa zamani ambaye ni msanii wa HipHop Lord Eyes. Azzy Superstar ameiambia EATV & EA Radio Digital, wakati Jacqueline Wolper anatoka kwenye mahusiano na aliyekuwa mwanaume wake Lord Eyes, alikuwa anampiga vijembe kwenye mtandao wa Instagram kwamba atafute wa saizi yake.  "Nilikuwa naishi na Lord Eyes Arusha, tulivyofika Dar es Salaam baada ya kupendeza ndiyo akaanza kutoka na Wolper mimi akaniacha kisa sio levo zake, kipindi wapo kwenye mahusiano Wolper alikuwa ananirushia vijembe kwenye mtandao wa Instagram ambavyo vilikuwa vinanilenga mimi kwamba nipambane na hali yangu" ameeleza Azzy Superstar.  "Wolper alikuwa anampigia simu binamu yangu kwamba niachane na Lord Eyes na nisijifanye kama mimi ni mtu wangu ili wao waendelee na mapenzi yao, yeye ni dada wa mjini anafanya anayoyafanya" ameongeza. Aidha amesema kitu anachoju...

Shamsa Ford Afunguka Kuhusu Wanaosaka VIDEO zake za Ngono Mtandaoni (Video)

Image
NancyTheDreamtz Bongo5 TV leo ilimtembelea msanii wa filamu Shamsa Ford na kuzungumza naye mambo mbalimbali kuhusu maisha yake pamoja na kama kuna video yake yoyote chafu iliyowahi kuvuja mtandaoni. VIDEO:

Amber Rutty Amwaga Machozi "Wanatamani Nife"

Image
NancyTheDreamtz Msanii na Video Vixen hapa nchini Amber Rutty,  amefunguka mazito hadi kufikia hatua ya kumwaga machozi baada ya kusema kuna baadhi ya watu wanatamani asiwepo duniani na wengine wanamchukulia kama mkosefu mkubwa katika jamii. Amber Rutty ameeleza hayo mbele ya waandishi wa habari leo Februari 19,2020, wakati anaomba msamaha na kutaka watu wampokee katika jamii pamoja na kueleza historia ya maisha yake.  "Mimi nimekuwa mtu wa kupata matatizo kila siku kwenye maisha yangu yote, kuanzia utotoni hadi hapa nilipofikia, ninachoweza kusema kwa ndugu,jamaa, na Watanzania wote wanisamehe maana sijaona kosa langu lilipo, japo watu wananichukia na kuniona binadamu mkosefu kuliko mtu yeyote hapa Duniani" ameeleza Amber Rutty. HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA  UDAKU SPECIAL  >> BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD   APP YA UDAKU SPECIAL Aidha msanii huyo ameongeza kusema  "Najikuta mnyonge kwa binadamu wenzangu ambao wanajiona wamekamilika, kuna baadhi...