Alikiba: Nilimuomba Rais Magufuli kitu na anaweza kuwepo kwenye mchezo wetu na Samatta, anatukubali sana



Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba leo an Samatta wamezindua rasmi mchezo wao na Samatta ikiwa ni muendelezo wa project yao ya Samakiba Foundation ambapo kila mwaka hucheza mchezo rasmi kwa ajili ya kuchangia sekta ya Elimu.


Wakizindua leo Alikiba amesema kuwa tayari wameanza kufanya kazi na wizara ya Elimu kutokana na juhudi zao za kuchangia sekta hiyo.


Mbali na hilo Alikiba amethibitisha kuwa aliongea na Mh. Rais  Magufuli na huenda akawepo kwenye mchezo wao na Samatta ambao utachezwa tarehe 8/8/2020 uwanja wa Mkapa jijini Dar Es Salaam.

NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele