Simba Nao Kuachana na Wachezaji Hawa Hapa...


Ttmetesi zinasema Uongozi Wa Klabu ya Simba SC upo kwenye Hatua za Mwisho kabisa Kumaliza na Nyota wake kadha ambao Wana Mikataba lakini wamekosa nafasi Katika Kikosi Cha Kwanza.
:
Lakini pia Simba Imesema Wachezaji wale ambao hawajatumika Katika Msimu huu Simba SC Huenda ikaachana na Nyota hao na ikasajili Vifaa vipyaa

Waliopo kwenye orodha na hatari ya kuachwa ni Hawa👇

●Ibrahim Ajibu...ambaye inasemekana Kuna Klabu imeweka kitita Cha Shilingi Milioni 150 ili kukamilisha Usajili wake.

●Rashid Juma...ambaye anatajwa kujiunga na Klabu ya Namungo Fc na taarifa zinasema tayari Mazungumzo yanaendelea ili Nyota Huyo ajiunge nao.

●Beno Kakolanya...Azam Fc Wapo Katika mipango ya kumnasa Mlinda mlango Huyo.

Wengine ni 👇👇👇👇👇
1.Shiza Kichuya.
2.Yusuph Mlipili.
3.Sharaf Shiboub.
4Haruna Shamte.
5.Tairon Santos

NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele