ACT - Wazalendo imempitisha Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais Zanzibar



Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT - Wazalendo umempitisha Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais Zanzibar kwa chama hicho baada ya kupata kura 419 sawa na asilimia 99.76 ya kura zote huku akikosa kura moja sawa na asilimia 0.24.

NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele