Jolly Twins – Uweponi Mwako (Official Video)


Ukitaja miongoni mwa waimbaji wanaofanya vizuri kwa sasa ndani ya Gospel Tanzania huwezi kuwaacha Jolly Twins ambao awali waliotoa wimbo wao na Godluck Gozbert ‘Baba eeeh’ ambao ulifanya vizuri.

Leo August 5, 2020 wametuletea ‘Uweponi mwako’  imetayarishwa nchini Australi ambapo ndipo wanaishi karibu kuitazama.


NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo