ACT - Wazalendo imempitisha Bernard Membe kuwa mgombea urais


Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT - Wazalendo umempitisha Bernard Membe kuwa mgombea urais wa chama hicho kwa kura 410 sawa na asilimia 97.61 ya kura zote huku akikosa kura 10 sawa na asilimia 2.39.
NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo