Posts

Showing posts from October 31, 2018

Primitive Boys Saves Family Cats From Python Attack - Python Attack Ca...

Image
NancyTheDreamtz

ZOEZI LA UVAMIZI WA BANK

Image
NancyTheDreamtz

JESHI la Tanzania Mafunzo yake ni Hatari JWTZ Itazame Hii Kabla hujaamu...

Image
NancyTheDreamtz

RC Makonda Awatangaza mashoga hadharani leo

Image
NancyTheDreamtz

Waziri Mkuu Aagiza Eneo La Kiomoni Litathminiwe.....Ni baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wanancho juu ya kutoridhishwa na fidia

Image
NancyTheDreamtz WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema atamuagizaMthamini Mkuu wa Serikali Bibi. Evelyne Mugasha kwenda katika Kata ya Kiomoni kufanya tathmini ya ardhi ya wananchi ili kubaini thamani halisi ya maeneo hayo ili wananchi waweze kufidiwa. Hatua hiyo inakuja baada ya wananchi hao kumlalamikia Waziri Mkuu kuhusu kutoridhishwa na fidia ya maeneo yao yaliyochukuliwa na kampuni ya Neelkanthinayomiliki kiwanda hicho cha kuzalisha chokaa. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jana jioni (Jumanne, Oktoba 30, 2018) wakati akizungumza na wananchi wa kata ya Kiomoni katika mtaa wa Kiomoni wilayani Tanga akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani Tanga. Alisema atamtuma Mthamini Mkuu aende kubaini nani anadai nini na anamiliki nini ili atoe kibali cha ulipwaji ili muwekezaji aweze kupewa kibali cha kuwalipa fidia yao.”Tunataka jambo hili liishe kabla ya mwishoni mwa mwaka huu kila kitu kiwe kimekamilika na hakuna mwananchi hata mmoja atakayepoteza h...

Wimbo Mpya wa Godzilla - My Lamborghini Doors

Image
NancyTheDreamtz Msanii wa muziki wa hip hop Bongo,  Gozilla  anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya uitwao  My Lamborghini Doors . Itazame hapa.

Video Mpya ya Victoria Kimani - Highest Calibre

Image
NancyTheDreamtz Msanii wa muziki kutoka nchini,  Victoria Kimani  ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao  Highest Calibre . Itazame hapa

Video Mpya: Hasanoo - Taa ya upendo

Image
NancyTheDreamtz Video Mpya: Hasanoo - Taa ya upendo

Video Mpya: Martha Mwaipaja - Nalifurahia. Itazame Hapa

Image
NancyTheDreamtz Msanii Wa Nyimbo Za Injili Nchini  Martha Mwaipaja  ametoa Video Mpya ya Wimbo Wake Uitwao  Nalifurahia. utazame Hapa Advertisement

Zitto aitwa polisi kuthibitisha madai ya mauaji ya watu 100 Kigoma

Image
NancyTheDreamtz Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limemtaka mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe kuwasilisha vielelezo vya madai  yake kuwa yametokea  mauaji eneo la Nguruka wilayani Uvinza mkoani humo na watu 100 kupoteza maisha. Jumapili iliyopita Oktoba 28,2018, Zitto alizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kudai kuwa takribani siku 10 zilizopita yalitokea mauaji hayo na taarifa alizonazo ni kuwa watu  zaidi ya 100,  wakiwamo polisi walikufa. Jana Jumanne, Oktoba 30, 2018, Kamanda wa polisi mkoani Kigoma, Martin Ottieno alizungumza na waandishi wa habari na kusema tuhuma alizotoa Zitto hazina ukweli wowote. Alisema  hakuna  watu 100 waliouawa na kusisitiza kuwa ni upotoshaji unaofanywa na wanasiasa. “Hakuna watu mia moja waliouawa. Tunamtaka Zitto aonyeshe vielelezo vya hayo anayosema au aje atuonyeshe makaburi ya watu hao anaosema wameuawa Kigoma, ”alisema Ottieno. Kamanda huyo amewataka  wana...

Alichokisema Msanii Harmonize kuhusu kuachana na mpenzi wake, Sarah

Image
NancyTheDreamtz Msanii Harmonize amefunguka iwapo ni kweli ameachana na mpenzi wake, Sarah. Harmonize akipiga stori na Wasafi TV amesema hilo si la kweli bali Sarah amesafiri kwenda Italy ndio sababau hawaonekani pamoja kwa sasa. "Pia amesafiri yupo Italy muda kidogo, so nadhani ndio sababu hatupo pamoja," amesema Harmonize. Harmonize amekuwa na mahusiano na Sarah kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja na nusu mara baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Jackline Wolper.

Picha ya Ommy Dimpoz, Zari Yazua Gumzo

Image
NancyTheDreamtz Msanii wa muziki Bongo, Ommy Dimponz amekutana na Zari The Bosslady nchini Afrika Kusini. Bado haijajalikana iwapo Zari na Ommy Dimpoz walikutana location kwa ajili ya kutengeza video ya msanii huyo, hilo ndilo swali lililoko vichwani mwa mashabiki wengi kwa sasa. Zari ambaye anaishi Afrika Kusini ndiye ame-share picha hiyo kwenye Insta Story ikionyesha yupo pamoja na muimbaji huyo. Zari ni mzazi mwezie na Diamond Platnumz ambaye urafiki wake na Ommy Dimpoz uliingia doa miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali.

Maimatha Athibitisha Wema Kutapeliwa Zaidi ya Milioni 40 na Aliyemtangaza Future Husband

Image
NancyTheDreamtz Mwanadada mjasiliamali na Rafiki wa karibu wa mema sepetu ambaye ni Maimatha wa Jesse amethibitisha yale maneno ya watu yaliokuwa yanasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wema ametapeliwa pesa zaidi ya milioni 40 ya yule mwanaume aliye mtangaza kuwa ni future husband. Kupitia ukrasa wake wa kijamii Maimatha amesema kuwa future husband wa Wema anatafutwa kwa kosa la kuwatapeli watu. ANATAFUTWA NA POLISI ............................................. Dah kumbe kweli lisemwalo kama halipo basi linakuja...huyu jamaa anaitwa Patrick hilo jina la Pck naskia ni la kutapeli watu😪 Naskia huju jamaa kweli amemtapeli wema kama million 40 hv😴 alizipata kwa mauzo ya movie ....(inauma sana) Naskia ndio tabia yake kutapeli wanawake....alibadilishaga na dini huko Dubai akamuoa mbibi mmoja hivi....huyo mbibi anafamilia yake kabisa.... Afu kumbe jamaa sio mnyarwanda wala nini kwao kumbe tabora....na unaambiwa anapenda kujisexisha na kuwapiga picha mbaya wanawake mwishowe anawa...

"Huyu Musiba Anaweza Kuwa Hatari sana kwa Usalama wa Taifa" Nape Nhauye

Image
NancyTheDreamtz “Huyu Musiba anaweza kuwa hatari sana kwa usalama wa taifa hili ingawa watu wanamchukulia kama mtu aliyechanganyikiwa au anayejipendekeza, ni aibu sana mtu anazusha mambo mazito halafu anaachwa huru wakati wengine wamekamatwa kwa sheria ya mtandao kwa kuandika” Mbunge wa Mtama - Nape Nnauye #KwanzaHabari

Diamond Amtupia Mabegi nje Kim Nana, Penzi lao Lafika Ukingoni

Image
NancyTheDreamtz Lile penzi lililokuwa gumzo kwa muda wa siku chache zilizopita kati ya Diamond na mwanadada Kim nana limefika mwisho baada ya mwanadada huyo kutupiwa mabegi nje katika gate la Diamond Platinumz. Mwanadada huyo ambae nae alikuja kwa kasi bila kuangalia wanawake waliopita kwa Diamond walikuwa katika hali gani alijikuta akijihusisha kimapenzi na Diamond tena bila kuogopa penzi lao lilikuwa wazi kwa muda mfupi tu. Mwanadada hyo alitupiwa mabegi yake nje na kuamua kuita bajaji na kuamua kurudi nyumbani kwake kwani tayari alikuwa alishahamia nyumbani hapo madale. Kimnana hatokuwa mwanake wa kwanza kuwa na uhusiano na diamond na kufanyiwa udhalilishaji huu kama inavyodaiwa. Kimnana ambae anajihusisha na mambo ya video vixen ameweza kuvuma kwa muda mchache aliokuwa na Diamond na gafla imekuwa kimya.