Rayvany Apingana na Boss Wake Diamond 'Sio Issue Kutoka Kimapenzi na Kila Mwanamke Staa'


Mwanamuziki Rayvany ameulizwa kwanini yeye ametulia na hajawahi kusikika katika skendo mbali mbali za kutoka kimapenzi na warembo mastaa wa Bongo kama ilivyo kwa wasanii Wengine ikiwemo boss wake Diamond ambae amehusishwa katika Skendo nyingi za kutoka na Warembo Mastaa Mbali mbali, Ray Vanny Amejibu haya
"Mimi naishi maisha yangu, Najichukulia kama mtu wa kawaida niko sawa na watu wote, nataka nisiishi kama mtu ambae niko dunia nyingine nikajistress, sio ujanja kuwa na Wanawake maarufu mara huyu mara huyu, sitaki kuja kujuta baadae" Rayvany

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele