Kimenuka..Yabainika Kuwa Diamond Alitafuta Kiki Kupitia Safari ya South Africa

Msanii wa filamu Shamsa Ford, amedai kuwa msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz alikuwa anafanya kiki kwa kudai watu watasafirishwa kwenda nchini Afrika Kusini kwenye sherehe ya birthday ya mtoto wake Tiffah.

 VIDEO: 

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele