Aliyoyasema Juma Jux baada ya kuwauzia nguo mashabiki na kupiga nao Selfie

Siku ya August 18, 2018 msanii wa nyimbo za R&B Juma Jux ametumia masaa kadhaa kuwauzia mashabiki wake mavazi yenye brand yake ya African Boy ambapo alikuwa akipokea pesa mwenyewe na kisha kupiga nao picha mashabiki zake wote waliofika kununua bidhaa hizo za African Boy dukani kwa dada yake Fatma maeneo ya Sinza DSM.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO
VIDEO: Dada wa Jux kazungumza Jux kwenda kuuza nguo dukani kwake

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele