Irene Uwoya 'Dogo Janja Alikurupuka tu Kutoa Wimbo wa Banana Hakuniomba Ushauri ila Sawa tu'

Muigizaji wa filamu Bongo, Irene Uwoya amesema kuwa hakuombwa ushauri na mumewe ambaye ni msanii wa muziki Bongo, Dogo janja kuhusu wimbo wake wa Banana.

"Ila kwa upande mmoja au mwingine naona sawa tu kwa vile ni ujumbe amefikisha ila sijui kama aliniimba mimi au Msichana mwingine, Ningeshiriki kwenye Video ile ya Banana ingebidi anilipe hela nyingi tu kwa vile na mimi nina Managment yangu na yeye ana yake" Irene

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele