Kijina wa Sekondari Agundua Simu Isiyotumia Vocha wala Kadi

NancyTheDreamtz

Kijana Simon Petrus Mwanafunzi wa Sekondari raia wa Namibia ameuelezea ugunduzi wake kuwa unatumia mawimbi ya redio na hauhitaji kuwa na 'simcard na airtime'
-
Amesema kuwa imemchukua miaka 2 kukamilisha ugunduzi huo alioufanya kwa kutumia mabaki ya simu na runinga zilizoharibika
-
Wazazi wake ambao hawana ajira kwa sasa walihangaika kumsaidia kijana wao ili akamilishe mradi huo uliogharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi za Kitanzania Milioni Nne

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele