Skip to main content

Hamisa Mobetto atua Kenya na kupokewa mchekeshaji huyu (Audio)

NancyTheDreamtz
Mwanadada Hamisa Mobetto Jumatatu hii ametua nchini Kenya na kupokelewa na mchekeshaji, ChipuKeezy ambaye kwa sasa anaendesha kipindi kimoja cha TV nchini humo. Hatua hiyo ni siku moja toka Diamond ampost mama watoto wake wa zamani Zari na kueleza kwanini hawezi kuanika mambo ya Zari mtandaoni tofauti alivyofanya kwa Mobetto. Wawili hao waliingia kwenye mgogoro wa kutupiana maneno toka Diamond anyake sauti ya Mobetto akizungumza na mtu anayedaiwa kuwa ni mganga wa kienyeji.

Rel

Comments

Popular posts from this blog

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Jacqueline Wolper Atamani Kutoka Kimapenzi na Rais