Huyu ndio mrithi mpya wa Zari na Hamisa Mobetto kwa Diamond Platnumz ? (Audio)

NancyTheDreamtz
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na C.E.O wa lebo ya muziki ya Wasafi Diamond Platnumz amekuwa ni mtu wa matukio kila siku kukicha.
Msanii huyo asiyeishiwa matukio kwenye mitandao ya jamii bado anaendelea kuwa gumzo mitandaoni baada ya kupost video inayomuonyesha mwanadada mmoja ambaye jina lake halijajulikana mpaka hivi sasa na kuandika caption yeye utata akiweka imoji zenye kuonyesha upendo huku akiweka hashtag “Usingiz” huku wasanii na wadau mbalimbali wa sanaa wakicoment chini ya video hiyo wengine wakiandika Simba mla nyama.
Tukio hilo halikuishia hapo kwa mama yake Diamond mama Dangote aliirepost video hiyo na maneno yale yale ya Diamond ila yeye akaweka hashtag yake na kuandika “Mmemaliza kuchamba”

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele