Nyimbo ya 'Katika' ya Navy Kenzo Yazidi Kukimbiza Chat BBC Radio

NancyTheDreamtz
Nyimbo ya 'Katika' ya Navy Kenzo Yazidi Kukimbiza Chat  BBC Radio
Wimbo wa katika ulioimbwa na navy kenzo wakimshirikisha Diamond Platinumz unaziid kupasua anga na kufanya vizuri hadi nje ya nchi katika vituo mbalimbali vya radio na televisheni.

Wimbo huo uliotoka wiki chache zilizopita aumeweza kufikisha views zaidi ya million 4 ndani y siku hizo chache ikiwa hiyo ni moja ya mafanikio makubwa ya muziki ndani na nje.

Hata hivyo katika Radio kubwa duniani inayotangaza habari  mataifa akubwa na yenye kuaminika zaidi BBC Radio wimbo huo umeweza kufika na kupanda chti siku hadi siku  na hata kufikia nafasi ya mwanzo katika radio hiyo.

Hii ni moja ya mafanikio makubwa ya muziki wa tanzania kuwa sasa umekuwa ukifika mbali na kupendwa na watu wa nje .

Hongera nyingi lwa kundi la navy kenzo na WCB kupitai bosi wao Diamond platinumz.

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele