Maimartha Ampa Ushauri Wema Sepetu

NancyTheDreamtz
Maimartha Ampa Ushauri Wema Sepetu
Mwanadada mshehrehesaji maarufu nchini Maimartha wa jess amefunguka na kumpa ushauri mzito Wema sepetu kwa kumwambia kuwa rangu ametoa tamko la kuwa na mume mtarajiwa watu wamekuwa wakimsema sana kiasi kwamba imekuwa kama hapo awali alipoanza mahusiano na  diamond platinumz.

Maimartha anasema kuwa alipokuwa na Daimond watu walikuwa wakisema sana na kufikiaka hatua ya kumtukana na kumkosoa sana lakini sasa hivi kila mmoja amekuwa akiomba wawili hao kurudiana, hivyo kama wema atasikiliza maneno ya mashabiki basi hatoweza kufanikisha hata ndoa anayoitegemea.

Lakini pia Maiamartha amemwambia Wema kuwa kama anatka kufanukisha  kila jambo basi asiwasikilize watu wanasema nini .

Maimartha amemwaidi Wema kuwa kama atafunga ndoa na mwanaume huyo basi yeye atakuwa MC bure katika harusi yake na atatoa muziki wake bure kama zawadi yake kwa harusi yao.Maimartha aliandika

wema huyo bwanako mpya nimekumbuka zamnani wakati unaanza kutoka na diamond, kila mtu alikuwa anakusema na kukudhalisha mara bwana gani huyu, mara hoo mara vile …lakini sasa hivi kila mtu anataka urudiane nae…na sasa hivi kwa bawana huyu mpya  yanarudi yale yake lakini Nassib alijiongeza sana maana nasibu ni kichwa…naomba utafute wasaa wa kutafakari kama wewe unampena je yeye anakupenda.. na kama anakuenda basi mfunge ndoa ,,tucheze ngoma tumpe raha mama sepetu….mc mimi nitatoa muziki wangu bure ul mkubwa wa Milion 4,nitashika mike bur siku ya sendoff na kitchen part yako…wewe ni bonge la demu, mzuri na una rohoo ya kipekee…hata wakwe na mawifi hawatajutia…vinginevyo usije ukatuletea kasheshe.

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele