Winnie Harllow na Wiz Khalifa Waangukia Katika Penzi zito

NancyTheDreamtz

Rapper huyo amesema supermodel huyo si tu kuwa ni mrembo bali ni mtu mwenye kujielewa pia. Amberose ambaye alikuwa mke wa rapper huyo amewapa kila la Kheri wawili hao

Kwa upande mwingine Winnie Harllow ambaye ni raia wa Canada aliyeibuliwa na Tyra Banks kupitia American Next Supermodel career yake imezidi kuwa strong Kwa kuimarika siku hadi siku kwa makampuni makubwa ya kimataifa kumsainisha deals mbalimbali
.
Kwa mara ya kwanza pia mwaka huu 2018 Winnie amepata deal kubwa la kuwepo katika Victoria Secret Show ambapo ataungana na supermodels wenzie akiwemo Herieth Paul wa Tanzania. Winnie amesema alikuwa na hofu kubwa kwenye auditions ya Victoria Secret kwasababu ni deal la brand kubwa linalootwa na wengi katika industry.

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele