Irene Ataka Kulipwa na Dogo Janja

NancyTheDreamtz
Irene Ataka Kulipwa na Dogo Janja
Mwanadada Iren Uwoya amefunguka na kusema kuwa ikitokea msanii Dogo Janja akitaka kufanya nae kazi ya kutaka kutikea katika video yake yoyote basi  anaweza kufanya nae kazi hiyo endapo tu ataweza kulipa pesa ambayo  anataka yeye.

Dogo Janja na iIrene ambao walikuwa mke na mume  lakini wametengana hivi karibuni  kutokana naskendo za mwanaume huyo kuchepuka na wema sepetu wamekuwa kama maadui kwa sasa huku kila mmoja akikaa kimya kutokuongelea mahusiano yao.

Hata hivyo Irene anasema kuwa kikubwa kwake pesa tu ‘niko tayari kuwa video model katima video yoyote ya Dogo janja ilimradi tu  kamaatakuja na dau zuri la kueleweka, kwanini nishinde?”

Irene anasisitiza kuwa kwa sasa kila kitu anachokifanya kinachoonekana katika mitandao kuhusu yeye kinasimamamiwa na uongozi wake na wala sio wanaume kama watu wanavyosema.

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele