Lazaro Nyalandu Arudi Kwenye Siasa Baada ya Kukaa Benchi Mwaka Mzima

NancyTheDreamtz

Baada ya mwaka mmoja wa likizo kwenye siasa LazaroNyalandu amerudi kusaidia kujenga chama ( CHADEMA )

KUMBUKA. Lazaro aliacha Ubunge na nyadhifa zote ndani ya CCM Baada tu ya tukio laTundu Lissu Kupigwa Risasi.

Comments

Popular posts from this blog

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma