Mwakyembe "Mamiss Tuache Kujitutumua Kuongea Kiingereza cha Kichaga na Kinyakyusa"

NancyTheDreamtz

"Tuache kujitutumua kuongea Kiingereza cha kichaga, kinyakyusa n.k.... tutumie Kiswahili, Kiswahili ni miongoni mwa lugha 6000 zinazozungumzwa sana duniani na ktk hizo 6000 Kiswahili kipo ktk Top 10, Ma-Miss tumieni Kiswahili" - asema Waziri Dr. Mwakyembe @harrisonmwakyembe
#NewMissTanzania2018 #MissTanzania2018

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo