Kijana anekuja kasi kwenye uchoraji Tanzania

NancyTheDreamtz
George Nyandiche nikijana aliyesoma Shule yamsingi mazoezi Mbinga baada ya hapo alijiunga na Shule ya Sekondari Mbinga Day nakuhitimu Elimu yake hiyo 2012 Baada yakumaliza George Akajiunga na Kampuni yauchoraji ya Tingatinga iliyopo maeneo ya Morogoro Store Osterbay sasa amekuwa Mchoraji Hodari akifanya kazi zake nawachoraji Mahiri kama Nathani Mpangala kwayeyote anayehitaji huduma yake apige namba +25575956009 au awasiliane na Meneja wake +255673050373

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele