Manchester United yamalizana na Alexis Sanchez

Manchester United hatimaye imemalizana na Alexis Sanchez baada ya klabu ya Inter Milan kukubali kumsajili nyota huyo raia wa Chilea moja kwa moja, kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Italia.

Kwa mujibu wa gazeti la Corriere della Sera la Itali, limeripoti kuwa Mkurugenzi wa michezo wa Inter Milan, Beppe Marotta amekubaliana dili hilo na United, ambalo litashuhudiwa miamba hiyo ya soka kutoka Serie A ikitoa kitita cha paundi milioni 13.5 kwaajili ya Sanchez.

Inadaiwa sehemu ya makubaliano hayo ni kuwa nyota huyo atatangazwa rasmi baada ya mchezo wao dhidi ya Getafe wa michuano ya Europa League siku ya Jumatano.

Sanchez's departure will come as a relief to Ole Gunnar Solskjaer and the United hierarchy

Inter inamsajili Sanchez kwa dau la paundi milioni 13.5 kwa mkataba wa miaka mitatu ambapo atasalia hapo hadi mwezi Juni mwaka 2023.

Sanchez's career at Manchester United hasn't worked out following his move in January 2018

Winga huyo mwenye umri wa miaka 31 alipaswa kurejea United, Agosti 7 ili kwenda kumalizia miaka yake miwili lakini sasa atasalia hapo. Sanchez amejiunga na United mwezi Januari, 2018 akitokea.

NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele