Lulu Diva afunguka uhusiano wake na Lavalava




Jana Kupitia big sunday live ya Wasafi Tv Msanii wa bono fleva Lulu Diva alitolea ufafanuzi Kuhusu story za yeye kuwa kwenye mahusiano na msanii mwenzake kutoka katika label ya WCB Wasafi Lavalava. 


Story hizi zilizokuja baada ya video za utata za wawili hao kuzagaa Mitandaoni ambazo zikiwaonyesha kuwa ni wapenzi. 


''Kwani Mtu Akiwa Na Ukaribu Na Mtu Kuna Mahusiano? Sio Kwamba wcb Nimemzoea LAVA LAVA Wote Na Washikaji Zangu Kwahiyo Na Hata Kwa Jana Kuonekana Nipo Nae Ni Kwasababu Tulikuwa Wote Kwenye Harusi Baada Ya Hapo Tulitoka Tukaenda Kwenye After Party Kwahiyo Sidhani Kama Ni Kitu Kibaya Na Mimi Kukaa Na Wanaume Ni Kitu Ambacho Ni Kawaida Kwasababu Kampani Yangu Kubwa Ni Ya Watoto Wakiume'' Lulu Diva.


NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Jacqueline Wolper Atamani Kutoka Kimapenzi na Rais