Baada ya Kuachiwa Huru Rasmi Rapper Tekashi Aachia Video Mpya



Baada ya kuachiwa huru rasmi rapper Tekashi tayari ameshaingia mitaa ya New York kushoot video mpya na ndani ya masaa 24 hayo hayo tayari ameiachia video hiyo 'Punani' 


Rapper Huyo aliachiwa huru siku ya jana baada ya kutumikia kifungo chake cha nje (nyumbani) kwa miezi minne baada ya kuachiwa mapema kutoka gerezani kwa hofu ya kupata maambukizi ya corona. Ikumbukwe Tu Kuwa Rapper Tekashi 6ix9ine alikamatwa kwa makosa ya uhalifu na kutumia silaha kinyume cha sheria akihusishwa na makosa ya kundi lake la kihuni la kipindi icho




NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele