Binadamu Kuishi Milele Kama zoezi la Kuunganisha Ubongo na Mfumo wa Komputa Litakamilika


Je utamani kuishi milele?. Huko nchini Marekani mjasiriamali mmoja wa masuala ya teknolojia, Eloni Musk anadhanii binadamu huwenda wakaepuka kifo kutokana na ujio wa teknolojia mbalimbali duniani.

Mwanasayansi huyo kwa sasa anashughulikia teknolojia ambayo itaunganisha mfumo wa ubongo wa binadamu na komputa hali ambayo itazuia miili ya binadamu kutozeeka na kufungua miingiliano na kidigitali daima.
Musk amedai mfumo huo utaweza kumsaidia binadamu kuishi bila kuzeeka na kuunganisha miili ya binadamu na mifumo ya kigitali.


Ubongo wa binadamu una nyaya 68 mtandao ambao unaweza kuunganisha mfumo wa ubongo wa binadamu na wakomputa.

Pia wamedai mfumo huo unaweza kuamisha akili za binadamu na kuzipeleka kwenye mfumo wa komputa lakini wadau wa mambo wamedai mfumo huo hauwezi kufanya kazi kwa kuwa ubongo wa binadamu una siri nyingi.

Mfumo huo ambao umepewa jina transhumanism, umeonekana kupingwa na wadau wengi wa sayansi kwa madai akili za binadamu haziwezi kuamishika.



NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele