Posts

Showing posts from February, 2020

Bwana Misosi: Ruge aliniambia tatizo nini, mbona una kipaji kikubwa (Video)

Image
NancyTheDreamtz Msanii huyo wa hip hop amefunguka mengi ikiwa leo February 26, ni Mwaka mmoja toka afariki dunia Ruge Mutahaba, Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi Clouds Media na mdau mkubwa wa muziki nchini Tanzania. Related Articles

Bwana Misosi: Ruge aliniambia tatizo nini, mbona una kipaji kikubwa (Video)

Image
NancyTheDreamtz Msanii huyo wa hip hop amefunguka mengi ikiwa leo February 26, ni Mwaka mmoja toka afariki dunia Ruge Mutahaba, Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi Clouds Media na mdau mkubwa wa muziki nchini Tanzania.

Video: Antonio Nugaz afunguka mechi yao dhidi ya ‘Mnyama’ Simba, ujumbe wa Manara na ujio wa Jerry Muro

Image
NancyTheDreamtz Afisa Mhamasisha na Msemaji wa Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Yanga SC,  Antonio Nugaz amezungumzia mchezo wao wa leo wa kombe la FA dhidi ya Gwambina FC. Nugaz pia amezungumzia ujio wa aliyekuwa Msemaji wa Yanga SC, Jerry Muro katika kuhakikisha anaongeza hamasa huku akigusia Dar Es Salaam Derby dhidhi ya Mtani wao Simba SC Related Articles

Binti Kiziwi afunguka baada ya kumaliza kifungo cha miaka 8 jela China kesi ya Dawa za Kulevya (Video)

Image
NancyTheDreamtz Bongo5 TV imefanya mahojiano exclusive na video queen, Sandra Khan aka Binti Kiziwi ambaye amemaliza kifungo chake cha miaka 8 jela Hong Kong, China baada kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya. Mrembo huyo amefunguka mambo mengi pamoja taarifa nyingi ambazo zilikuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amenyongwa. Sandra amedai wakati yupo gerezani alikuwa anasikia mambo mengi hukusu serikali ya Rais John Pombe Magufuli pamoja na maendeleo yaliyofanyika. Related Articles

Video: Dr Mwaka Kafunguka Kuhusu Mke Wake Aliewahi Kuolewa na Mtu Mwingine

Image
NancyTheDreamtz Mapya yanaendelea kuibuka ambapo Dr Mwaka FEB 25 alifunguka kupitia kipindi cha Ala za Roho kuhusu wanaomkosea kumuoa mke aliewahi kuolewa zamani. Itazame hii video ujionee akifunguka kwenye kipindi cha Diva Loveness cha Ala za Roho kinachorushwa Radio Clouds FM VIDEO:

Fahamu Kinachojiri Kuhusiana na Kirusi cha Corona (Coronavirus)

Image
NancyTheDreamtz Karibu kwa ajili ya kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada zinazofanyika kukabiliana na kirusi hiki na mengine mengi yanayoibuka duniani kote katika muda wowote kuanzia sasa. Nikukaribishe sana! Coronaviruses in virusi vinavyopatikana zaidi kwa wanyama, lakini katika matukio machache virusi hivyo ninavyoitwa Zoonotic, Kisayansi, vinaweza kuambukizwa kutoka kwa mnyama kwenda kwa binadamu. Virusi hivi vinaweza kuwafanya watu wakaugua, mara nyingi katika sehemu ya juu ya mfumo wa upumuaji sawa kabisa na mafua ya kawaida. Virusi husambaa kutoka kwa binadamu mmoja hadi mwingine kwa njia ya hewa kwa kukohoa au kupiga chafya, kugusana na mtu mwenye virusi hivyo. Njia nyingine ni kugusa kitu au sehemu yenye virusi na kisha kujigusa mdomo, ...

Yanga yatoa sababu kubwa sita zakuifunga Gwambina leo

Image
NancyTheDreamtz Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela  amesema kuwa wana sababu kubwa sita zinazowafanya washinde leo mbele ya Gwambina mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo saa 10:00 Uwanja wa Uhuru mshindi atakayepenya leo anatinga hatua ya robo fanali. Mwakalebela amesema:-" Tuna kila sababu ya kuifunga Gwambina kwa sababu tuna benchi la ufundi zuri, wachezaji imara, mbinu kali, uwezo mkubwa, nia ya kufanya vizuri ipo. "Pia kuifunga Gwambina kutaturejesha kwenye mstari wetu ambao tulikuwa kwani hatukuwa na matokeo mazuri  na itatufanya turudishe imani kwa mashabiki wetu hivyo ushindi wetu mbele ya Gwambina ni muhimu mashabiki mjitokeze kwa wingi," amesema.

Msanii huyu wa Marekani amuomba Diamond amtumie wimbo wake na Tanasha “Nitumie sasa hivi” – Video

Image
NancyTheDreamtz Katika ngoma mpya iliyotolewa na Diamond pamoja na tanansha Donna imezua ngumzo baada ya msanii mkubwa kutoka Marekani kumuomba diamond amtumie wimbo ule, Kupitia ukurasa wa Diamond wa Instagrama msanii huyo ambaye ni Swiz beatz alituma meseji na kusema Send me ASP (as soon as possible) huku Diamond akimjibu one second. Huenda msanii huyo mkubwa anataka kufanya rimex ya wimbo huo.

Rapa wa Marekani Pop Smoke auwawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake (Video)

NancyTheDreamtz Rapa chipukizi nchini Marekani Pop Smoke ameripotiwa kuuwawa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake mjini Hollywood Hills. Pop Smoke amewahi kufanya kazi na Nicki Minaj pamoja na Travis Scott, na alikuwa akipewa nafasi yakufanya vizuri zaidi katika muziki wake. Video hapo juu inauonyesha mwili wa msanii Pop Smoke akibebwa kwenye machela baada yakupigwa risasi nyumbani kwake ambapo mwili wake umehifadhiwa katika hospital ya Cedars-Sinai Medical Center mjini West Hollywood.

Mbwana Misosi avurugwa: Unanivimbia wewe nani? mimi staa kabla yako, kama wewe sio shabiki yangu basi demu wako shabiki yangu (Video)

Image
NancyTheDreamtz Msanii wa muziki Bwana Misosi ambaye aliwahi kufanya vizuri na ngoma kama Mabinti Wakitanga, Nitoke Vipi na nyingine nyingi amedai hakuna msanii mkubwa na mdogo kwenye tasnia ya muziki nchini Tanzania. Mkongwe huyo amedai amechukizwa na baadhi ya wasanii wapya ambao kwa sasa wanadaiwa kufanya vizuri kwa madai wana wavimbia wasanii wenzao. Misosi amedai yeye amepitia changamoto ya namna hiyo kwa mmoja kati ya wasanii hao kitu ambacho kimemuuza sana.

Kwa Nini Wanawake wa Kiislamu Hawautaki Tena Ukewenza?

Image
NancyTheDreamtz Ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle.  Lakini katika miaka ya hivi karibuni wanawake wa kiislamu wamekuwa hawataki kuwa mke wa pili, watatu ama hata wa nne. Pia hata yule mwanamke ambae tayari yupo kwenye ndoa akisikia kuwa mume wake ana plan ya kuoa mke wa pili nakuambia nyumbani hapatakalika visa vinaanza kwa kwenda mbele. HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA  UDAKU SPECIAL  >> BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD   APP YA UDAKU SPECIAL Swali langu ni kwamba, je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?

Bongo Zozo atangazwa kuwa balozi wa Lipuli FC

Image
NancyTheDreamtz Uongozi wa Timu ya Lipuli FC ya Iringa imemtangaza shabiki na mhamasishaji wa Taifa Stars Nick Reynolds maarufu kama Bongo Zozo kuwa Balozi wake kwa lengo la kuitangaza timu ya Lipuli FC pamoja na kusaidia wachezaji wake kucheza Kimataifa

Nabii wa Corona’ Aomba Radhi, Waumini Wamlilia!

Image
NancyTheDreamtz Kiongozi wa Kanisa la Huduma ya Neno na Maombi lililopo Arumeru Mkoani Arusha, Moses Ibarahimu maarufu kama NabiiNamba Saba, ameomba radhi kwa Serikali na watu wote waliopata taharuki baada ya kutangaza kupitia mitandao ya kijamii kuwa amepewa maono ya kutengeneza dawa inayotibu homa ya mafua unaosabaishwa na virusi vya Corona.   Mtumishi huyo alikamatwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha na kuhojiwa kwa muda wa saa tisa kwa kosa la kutoa taarifa iliyozua taharuki kwenye jamii ambapo baadaye aliachiliwa kwa dhamana huku Jeshi hilo likiendelea na uchunguzi dhidi yake.

Jacqueline Wolper Atuhumiwa Kuiba Mwanaume wa mtu

Image
NancyTheDreamtz Mtanzania anayetoka na mzungu aliyempita miaka 32 Azzy Super amesema msanii Jacqueline Wolper alimuibia mwanaume wake wa zamani ambaye ni msanii wa HipHop Lord Eyes. Azzy Superstar ameiambia EATV & EA Radio Digital, wakati Jacqueline Wolper anatoka kwenye mahusiano na aliyekuwa mwanaume wake Lord Eyes, alikuwa anampiga vijembe kwenye mtandao wa Instagram kwamba atafute wa saizi yake.  "Nilikuwa naishi na Lord Eyes Arusha, tulivyofika Dar es Salaam baada ya kupendeza ndiyo akaanza kutoka na Wolper mimi akaniacha kisa sio levo zake, kipindi wapo kwenye mahusiano Wolper alikuwa ananirushia vijembe kwenye mtandao wa Instagram ambavyo vilikuwa vinanilenga mimi kwamba nipambane na hali yangu" ameeleza Azzy Superstar.  "Wolper alikuwa anampigia simu binamu yangu kwamba niachane na Lord Eyes na nisijifanye kama mimi ni mtu wangu ili wao waendelee na mapenzi yao, yeye ni dada wa mjini anafanya anayoyafanya" ameongeza. Aidha amesema kitu anachoju...

Shamsa Ford Afunguka Kuhusu Wanaosaka VIDEO zake za Ngono Mtandaoni (Video)

Image
NancyTheDreamtz Bongo5 TV leo ilimtembelea msanii wa filamu Shamsa Ford na kuzungumza naye mambo mbalimbali kuhusu maisha yake pamoja na kama kuna video yake yoyote chafu iliyowahi kuvuja mtandaoni. VIDEO:

Amber Rutty Amwaga Machozi "Wanatamani Nife"

Image
NancyTheDreamtz Msanii na Video Vixen hapa nchini Amber Rutty,  amefunguka mazito hadi kufikia hatua ya kumwaga machozi baada ya kusema kuna baadhi ya watu wanatamani asiwepo duniani na wengine wanamchukulia kama mkosefu mkubwa katika jamii. Amber Rutty ameeleza hayo mbele ya waandishi wa habari leo Februari 19,2020, wakati anaomba msamaha na kutaka watu wampokee katika jamii pamoja na kueleza historia ya maisha yake.  "Mimi nimekuwa mtu wa kupata matatizo kila siku kwenye maisha yangu yote, kuanzia utotoni hadi hapa nilipofikia, ninachoweza kusema kwa ndugu,jamaa, na Watanzania wote wanisamehe maana sijaona kosa langu lilipo, japo watu wananichukia na kuniona binadamu mkosefu kuliko mtu yeyote hapa Duniani" ameeleza Amber Rutty. HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA  UDAKU SPECIAL  >> BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD   APP YA UDAKU SPECIAL Aidha msanii huyo ameongeza kusema  "Najikuta mnyonge kwa binadamu wenzangu ambao wanajiona wamekamilika, kuna baadhi...

LIVE: Zitto Kabwe anazungumza na Waandishi wa habari muda huu

Image
NancyTheDreamtz Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe muda huu anazungumza na waandishi wa habari, bonyeza PLAY hapa chini kutazama LIVE. BREAKING LIVE : PIGO KWA MBOWE, MASHINJI APOKELEWA CCM

Kisa Cha SODOMA..Mungu Aliwashushia Mvua ya Moto Kwa Kuendekeza USHOGA...Walitaka Kuwabaka Malaika

Image
NancyTheDreamtz #TheStoryBook #SodomaNaGomorrah  Hadithi kamili ya kisa cha Mji wa Washenzi Sodoma na Gomora, na jinsi Mungu alivyouangamiza kwa moto na kupindua Ardhi Juu chini Tazama VIDEO:

PAUL Makonda Atamani Kigamboni Kufanana na Mji wa Manhattan Marekani

Image
NancyTheDreamtz Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo Jumanne Februari 11, 2020 amemuomba ruhusa Rais wa Tanzania, John Magufuli aweze kuifanya Wilaya ya Kigamboni kufanana na mji wa Manhattan uliopo Jiji la New York, Marekani. Makonda ametoa kauli hiyo katika hafla ya uzinduzi wa jengo la manispaa ya Kigamboni na jengo la mkuu wa Wilaya hiyo eneo la Gezaulole Kigamboni. "Niruhusu mheshimiwa Rais kupitia miradi ya maji, umeme, hospitali, barabara niifanye wilaya ya Kigamboni kuwa wilaya ya kisasa". "Tumetembea huko duniani tumeona. Ukienda pale Manhattan, New York City upande wa pili utakuta kuna kisiwa cha Jersey, Kuna mambo mazuri. Haka ndio ka kisiwa ketu kawe na hoteli nzuri za kitalii, fukwe nzuri. Mtu akitaka kwenda kula maisha anasema ni Kigamboni hapana sehemu nyingine," amesema Makonda

Breaking News : Zitto Kabwe Akutwa Na Kesi Ya Kujibu

Image
NancyTheDreamtz Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT – Wazalendo) Zitto Kabwe amekutwa na kesi ya kujibu katika mashitaka matatu ya uchochezi yanayomkabili katika Mahakama ya Kisutu. Zitto amepewa siku nne kuanzia tarehe 17 Machi-20 Machi 2020 kuwasilisha ushahidi wake wa utetezi. Hivyo, Kesi hiyo itaanza kusikilizwa mfululizo kuanzia Machi 17, 18, 19 na 20, 2020 Katika kesi ya msingi, Zitto anabiliwa na mashtaka matatu yote ya uchochezi, anayodaiwa kuyatenda Oktoba 28 mwaka 2018 katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisi za makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo.

Kocha simba :Leo tutatoa soka safi kwa mashabiki

Image
NancyTheDreamtz KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa leo watatoa soka safi kwa mashabiki wa Simba mbele ya Kagera Sugar. Simba ina shuka Uwanja wa Taifa, Februari 18 ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa bao 1-0 mbele ya Lipuli uliochezwa Februari 15 Uwanja wa Samora Iringa. Sven amesema:"Wachezaji wapo vizuri na maadalizi yamekamilka kwa ajili ya mchezo wetu, tunaamini tutaoa soka safi kwa mashabiki wetu,". Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 56 baada ya kucheza mechi 22 za ligi na Kagera ipo nafasi ya sita na pointi zake 34.

Mimi ni hazina kubwa, CCM watanilea na ipo tayari kuwaendeleza Watanzania na kule nilikotoka huo utayari siuoni” Dkt. Mashinji

Image
NancyTheDreamtz Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt Vicent Mashinji, leo Februari 18, 2020 amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Hamphrey Polepole. Dkt Vicent Mashinji, baada ya kupokelewa katika Ofisi ndogo za CCM, Lumumba Akiwa katika ofisi ndogo za CCM Dkt Mashinji amesema kuwa baada ya kutafakari kwa muda juu ya mwenendo wa siasa nchini, aliona chama cha CHADEMA bado kiko mbali katika kuchochea suala zima la maendeleo ya vitu na watu. “Malumbano ya Asubuhi mpaka Jioni nilikuwa naona yanatuchelewesha, nikaona ni heri nije hapa Lumumba, niongee na wenzangu nione kama nitapata fursa ya kutoa mchango kwenye Taifa langu, mimi bado ni kijana miaka 47 ninaweza nikawa hazina kubwa ambayo CCM kinaweza kikanilea na kunikuza zaidi” amesema Dkt Mashinji. Usiku wa kuamkia Disemba 20, 2019 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, alimpende...