Bongo Zozo atangazwa kuwa balozi wa Lipuli FC

NancyTheDreamtz


Uongozi wa Timu ya Lipuli FC ya Iringa imemtangaza shabiki na mhamasishaji wa Taifa Stars Nick Reynolds maarufu kama Bongo Zozo kuwa Balozi wake kwa lengo la kuitangaza timu ya Lipuli FC pamoja na kusaidia wachezaji wake kucheza Kimataifa

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo