Skip to main content

Binti Kiziwi afunguka baada ya kumaliza kifungo cha miaka 8 jela China kesi ya Dawa za Kulevya (Video)

NancyTheDreamtz
Bongo5 TV imefanya mahojiano exclusive na video queen, Sandra Khan aka Binti Kiziwi ambaye amemaliza kifungo chake cha miaka 8 jela Hong Kong, China baada kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya. Mrembo huyo amefunguka mambo mengi pamoja taarifa nyingi ambazo zilikuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amenyongwa. Sandra amedai wakati yupo gerezani alikuwa anasikia mambo mengi hukusu serikali ya Rais John Pombe Magufuli pamoja na maendeleo yaliyofanyika.

Related Articles

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele