Mbwana Misosi avurugwa: Unanivimbia wewe nani? mimi staa kabla yako, kama wewe sio shabiki yangu basi demu wako shabiki yangu (Video)

NancyTheDreamtz
Msanii wa muziki Bwana Misosi ambaye aliwahi kufanya vizuri na ngoma kama Mabinti Wakitanga, Nitoke Vipi na nyingine nyingi amedai hakuna msanii mkubwa na mdogo kwenye tasnia ya muziki nchini Tanzania.

Mkongwe huyo amedai amechukizwa na baadhi ya wasanii wapya ambao kwa sasa wanadaiwa kufanya vizuri kwa madai wana wavimbia wasanii wenzao. Misosi amedai yeye amepitia changamoto ya namna hiyo kwa mmoja kati ya wasanii hao kitu ambacho kimemuuza sana.

Comments

Popular posts from this blog

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Jacqueline Wolper Atamani Kutoka Kimapenzi na Rais