Msanii huyu wa Marekani amuomba Diamond amtumie wimbo wake na Tanasha “Nitumie sasa hivi” – Video

NancyTheDreamtz
Katika ngoma mpya iliyotolewa na Diamond pamoja na tanansha Donna imezua ngumzo baada ya msanii mkubwa kutoka Marekani kumuomba diamond amtumie wimbo ule, Kupitia ukurasa wa Diamond wa Instagrama msanii huyo ambaye ni Swiz beatz alituma meseji na kusema Send me ASP (as soon as possible) huku Diamond akimjibu one second.
Huenda msanii huyo mkubwa anataka kufanya rimex ya wimbo huo.


Comments

Popular posts from this blog

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Jacqueline Wolper Atamani Kutoka Kimapenzi na Rais