Rapa wa Marekani Pop Smoke auwawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake (Video)

NancyTheDreamtz
Rapa chipukizi nchini Marekani Pop Smoke ameripotiwa kuuwawa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake mjini Hollywood Hills.

Pop Smoke amewahi kufanya kazi na Nicki Minaj pamoja na Travis Scott, na alikuwa akipewa nafasi yakufanya vizuri zaidi katika muziki wake.
Video hapo juu inauonyesha mwili wa msanii Pop Smoke akibebwa kwenye machela baada yakupigwa risasi nyumbani kwake ambapo mwili wake umehifadhiwa katika hospital ya Cedars-Sinai Medical Center mjini West Hollywood.

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo