Tanzania Tujifunze kujiajiri na sio kuajiriwa 2018
NancyTheDreamtz
Kijana Arthur Raphael Nyandiche ni kijana ambaye ameamua kujiajiri mwenyewe kupitia Taaluma
yake ya Commerce na Computer aliyopitia miaka kumi iliyopita nyuma na kuweza kujipatia kipato
chake mwenyewe, kijana anafanya kazi kwa bidii na utiifu kwalengo la kutimiza ndoto zake hasa katika masuala ya Computer Software,Hardware,Networking,Graphics and Design pamoja na masuala ya kutengeneza wavuti na tovuti za makampuni mbalimbali kupitia hilo yeye ameweza kutambulika na watu mbalimbali nje na ndani ya Nchi ya Tanzania.Hivyo basi kijana anawaasa vijana wanaohitimu elimu ya vyuo sasa kujikita katika ajira binafsi badala ya kuitegemea Serikali
ndio iweze kutoa Ajira kwa watanzania wote watakao hitimu lazima wengine watengeneze ajira za watu wengine
Kijana anajichanganya pia katika masuala ya Kijamii kupitia serikali kama unavyoona picha tofauti ambazo kijana Arthur anazifanya kama picha baadhi hapo zinaonesha kumbukizi za mwalimu nyerere wilayani nanyumbu aliweza kualikwa kama mtaaluma wa (IT) ili aweze kuchukua matukio mbalimbali siku hiyo
Kijana anatarajia kuajiri watu kuanzia elfu mbili na ishirini anasema ndoto zake ni kuajiri siyo kuajiriwa na kwa asilimia kubwa anafanya kazi na sekta tofauti tofauti katika masuala ya (computer IT).

Comments